Kwanini Mpendazoe hakupewa mafao Zitto apewe?

Naombeni tutafakari ni kwanini Mpendazoe hakupewa mafao yake ya ubunge wakati ule,Lakini Zitto anapewa?

Hili si jambo la kupuuza kwa ustawi wa Demokrasia yetu na sheria za nchi.

Ni vema tujadili kujua kama bunge letu lina upendeleo wa sheria au kanuni?

Tujiulize angekuwa Lissu Mnyika,Wenje au Mnyaa wangepewa?

*************** Majibu kutoka kwa Zitto ****************

uliacha kupokea posho ,from the first day ulipo strike deal na ccm.
na hata kuacha kupokea posho kwako was a strategic means ya ku apima your fellow opposition MPs Kama wata fall to that trick,wakishinfwa uonekane wewe ndio unamachungu na taifa hili.
wadanganye maboya wenzako,
 
Last edited by a moderator:
mil 24 za posho kwa mwaka that means miaka minne ni 96m na hizo ni posho tu mara 350 ni karibia 350b kwa miaka minne,kwa miaka mi5 ni bilioni 420 ambazi zingeweza kutatua matatizo ya vitanda hospitalin,dawa,etc fedha zinatumika vibaya sana....
 
Sijaona mtu analipwa posho kwa kufanya kazi yake anayolipiwa mshahara!
Hawana huruma ,wabunge wetu wote ni walafi tu!
 
acha uongoo zito ana kadi mpya na hata nambari ya kadi yake ni mpya na pia muuundo wa kadi yake ni wa hizi mpya

KADI ZA ZAMANI ZA ACT HAZIPO KAMA ILE NI KIPANDE KIMOJA
tatizo huna hata ushahidi wala huzijui unasukumwa na hisia tu zito kajiunga juzi kadi yangu ni ya awali na najua zilivyokuwa mwanzo na hzi version ingine ambayo na zoto kapewa
Nita attach picha ya kadi ya zamani ambayo ni yangu na kadi ya sasa ambayo ni ya zito

Tofauti ipo hapa,ukitazama picha ya Afande na wenzake bt ya Zitto inaonekana colour yake ipo tofauti,which means ..conets dots we Ndito
 
Attachments

  • 1427485664667.jpg
    1427485664667.jpg
    112.9 KB · Views: 127
Wewe chuki yako binafsi na Zitto inakufanya unakosa hata umakini na kuandika habari za kufikirika. Kama huna uakika na jambo si ukae kimya! Mleta mada amemnukuu Zitto akisema kuwa Mpendazoe alilipwa na inaweza kuthibitishwa lakini wewe unasema kujiunga na CDM kuli mu cost!

Acha ubabaishaji na kujivunjia heshima, kama ungekuwa mtu makini ungenukuu kanuni za bunge zinasemaje kuhusu mbunge kulipwa mafao iwapo ataacha ubunge kabla ya muda na siyo kuleta hapa story za kusikia kwenye vijiwe vya kahawa!

Kwenye ukweli siku zote voroboto wa Zzk povu huwa linawatoka,tutazidi kuwamulika kadri otakavyohitajika
 
Tofauti ipo hapa,ukitazama picha ya Afande na wenzake bt ya Zitto inaonekana colour yake ipo tofauti,which means ..conets dots we Ndito

yaani wewe una muhemko sana

nambari ya kadi ya zitto ni elfu 70 naaa
namba yangu ni elfu 20 naa

na aliichukua pale pale na waandishi wakaipiga picha na pale pale akaonesha namba yake
mbona unapotosha kwa makusudi
 
Tulia kwenye hoja wewe,kwenye siasa hakuna kinachoshindikana,anaweza kuchukua kadi mwaka jana bt kwenye mwendelezo wa maigzo ya zzk akazuga kupokea kadi siku ile,naona viroboto wake mnarukaruka
 
Aisee humu ndani wanazi wa Bavicha na wenzao wamenisikitisha sana,mmemsakama ZITTO akiwa ndani ya CDM,tukadhani tatizo lilikuwa yeye kuwa CDM wakati hatakiwi kule, sasa ametoka na si sehemu ya Siasa za CDM lakini bado vijana wa Bavicha wanaendeleza propaganda za kipuuzi kabisa.

Muda mnaopoteza kumshambulia ZITTO mngeutumia kushawishi walio karibu yenu kujiandikisha kupiga kura, kufahamu haki zao kama wapiga kura, na kufahamu mapungufu ya CCM na utawala uliokuwepo.

Mngeutumia huu muda muhimu kuelekea uchaguzi kujenga hoja kwa nini CDM ni jibu sahihi kwa mapungufu ya CCM, mngeutumia muda huu kuelezea mazuri yaliyofanywa na viongozi wa CDM na mipango yao kuwakomboa watanzania.

Kwa mfano, kama mna tatizo na ZITTO kupokea posho za vikao, na mna amini amezipokea (kitu msichokipenda, based on evidence nusu nusu zilizoletwa humu), basi mngetuletea hatua zilizochukuliwa na CDM kukomesha posho, Mngetuletea mifano positive ya viongozi wa CDM kukabiliana na tatizo la posho zinazocost wananchi kwa kupoteza fedha muhimu kwa huduma mbali mbali.

Hivi mnajisikiaje mamia ya wabunge wa CCM wakipumua bila shida kwa kuwa hakuna anayehangaika kuonesha mapungufu yao?mnajisikiaje wabunge hawa wakirudi tena madarakani na kuendelea kutunga sheria mbovu zinazozorotesha maendeleo kwa kuwa hawa watu mliwapa break?

Mnachokifanya hakina mantiki kabisa yani.
 
Mwana act yeyote ajibu hoja hii ya kibo 10 kwanini mpendazoe akulipwa mafao yake lkn zito kalipwa mafao yake yote?

soma majibu ya zito.au kkk3 hazikueleweka darasani?
 
Aisee humu ndani wanazi wa Bavicha na wenzao wamenisikitisha sana,mmemsakama ZITTO akiwa ndani ya CDM,tukadhani tatizo lilikuwa yeye kuwa CDM wakati hatakiwi kule, sasa ametoka na si sehemu ya Siasa za CDM lakini bado vijana wa Bavicha wanaendeleza propaganda za kipuuzi kabisa.

Muda mnaopoteza kumshambulia ZITTO mngeutumia kushawishi walio karibu yenu kujiandikisha kupiga kura, kufahamu haki zao kama wapiga kura, na kufahamu mapungufu ya CCM na utawala uliokuwepo.

Mngeutumia huu muda muhimu kuelekea uchaguzi kujenga hoja kwa nini CDM ni jibu sahihi kwa mapungufu ya CCM, mngeutumia muda huu kuelezea mazuri yaliyofanywa na viongozi wa CDM na mipango yao kuwakomboa watanzania.

Kwa mfano, kama mna tatizo na ZITTO kupokea posho za vikao, na mna amini amezipokea (kitu msichokipenda, based on evidence nusu nusu zilizoletwa humu), basi mngetuletea hatua zilizochukuliwa na CDM kukomesha posho, Mngetuletea mifano positive ya viongozi wa CDM kukabiliana na tatizo la posho zinazocost wananchi kwa kupoteza fedha muhimu kwa huduma mbali mbali.

Hivi mnajisikiaje mamia ya wabunge wa CCM wakipumua bila shida kwa kuwa hakuna anayehangaika kuonesha mapungufu yao?mnajisikiaje wabunge hawa wakirudi tena madarakani na kuendelea kutunga sheria mbovu zinazozorotesha maendeleo kwa kuwa hawa watu mliwapa break?

Mnachokifanya hakina mantiki kabisa yani.

Alielala usimuamshe
 
Ztto alijingatua hakufukuzwa.
Lowasa alijingatua hakufukuzwa ivyo wanalipwa mafao
 
Kaz ya ubunge ni ya muda sio ya kudumu kma mtumishi wa ummah ndo mana ssa ukigombea unajivua utumishi wa ummah
 
Aisee humu ndani wanazi wa Bavicha na wenzao wamenisikitisha sana,mmemsakama ZITTO akiwa ndani ya CDM,tukadhani tatizo lilikuwa yeye kuwa CDM wakati hatakiwi kule, sasa ametoka na si sehemu ya Siasa za CDM lakini bado vijana wa Bavicha wanaendeleza propaganda za kipuuzi kabisa.

Muda mnaopoteza kumshambulia ZITTO mngeutumia kushawishi walio karibu yenu kujiandikisha kupiga kura, kufahamu haki zao kama wapiga kura, na kufahamu mapungufu ya CCM na utawala uliokuwepo.

Mngeutumia huu muda muhimu kuelekea uchaguzi kujenga hoja kwa nini CDM ni jibu sahihi kwa mapungufu ya CCM, mngeutumia muda huu kuelezea mazuri yaliyofanywa na viongozi wa CDM na mipango yao kuwakomboa watanzania.

Kwa mfano, kama mna tatizo na ZITTO kupokea posho za vikao, na mna amini amezipokea (kitu msichokipenda, based on evidence nusu nusu zilizoletwa humu), basi mngetuletea hatua zilizochukuliwa na CDM kukomesha posho, Mngetuletea mifano positive ya viongozi wa CDM kukabiliana na tatizo la posho zinazocost wananchi kwa kupoteza fedha muhimu kwa huduma mbali mbali.

Hivi mnajisikiaje mamia ya wabunge wa CCM wakipumua bila shida kwa kuwa hakuna anayehangaika kuonesha mapungufu yao?mnajisikiaje wabunge hawa wakirudi tena madarakani na kuendelea kutunga sheria mbovu zinazozorotesha maendeleo kwa kuwa hawa watu mliwapa break?

Mnachokifanya hakina mantiki kabisa yani.

Duu hii ni tafakuri ingawa iko ki mipasho !
 
Kwenye ukweli siku zote voroboto wa Zzk povu huwa linawatoka,tutazidi kuwamulika kadri otakavyohitajika

Wewe njaa ndio inayokusumbua maana ulishaanza kulalamikia UKAWA, hii njaa yako itakufikisha pabaya. Labda kwa ushauri wako tu, kwenye siasa hakuna adui wa kudumu. CHADEMA walisema CUF ni CCM B na wanafuata sera ya ushoga lakini leo wako wote Zanzibar ndani ya UKAWA. Je, CUF wamebadilika?

Husiendekeze sana chuki dhidi ya mtu Fulani kwa sababu ya njaa zako maana hujui kesho utakua wapi. Miaka 10 iliyopita ulitegemea Zitto atafukuzwa CHADEMA. Think about it!
 
ngoja tukuletee ushahidi hapa msaliti mkubwa wee.acha kutapeli watu kwa kujiita mjamaa.mjamaa gani anafanyia mikutano Serena Hotel?uliuza majimbo ya chadema unajifanya una mapenzi na chama,umewauza mpaka wapiga kura wako kwa ccm na kukimbilia kigoma mjini.je umekuwa wa mwisho kutoka chadema?

Nausubiri sana huu ushahidi wa hummer na vogue mkuu nimechoka kusikia haya maneno mara kwa mara bila ushahidi .. Maneno ya kupandikizwa mabaya sana kama wasomi lazima mjiulize kwa makini sio kubeba jambo kama lilivyo bila ushahidi.

Ndio ule ushahidi eti wanasema Mh R na Mh J walizungumza Jana kwenye simu, na wakatuambia walichozungumza.. maana yake hao watu wanayo recorded audio ya mazungumzo hayo.. kwa nini tusiulize recorded audio iko wapi badala ya blah blah?
 
Back
Top Bottom