kbosho
JF-Expert Member
- Jun 4, 2012
- 13,073
- 6,640
Duuuh! wakaskazini mna roho mbaya! kwahiyo Mbowe na Slaah na mchumbake ndo wana haki ya kuzungukaa nchi nzima! ?
stupid words

Naomba niweke sawa kidogo tu kuondoa upotoshaji wa makusudi. Kwanza mimi nasikia tu kwenye vyombo vya habari kuhusu suala la mafao. Halinisumbui. Nawakumbusha;
- Toka mwaka 2011 mwezi Juni niliacha kupokea posho za vikao. Kwa mwaka posho za vikao ni takribani shs 24 milioni.
- Wabunge hupewa msamaha wa kodi kwenye magari wanayonunua. Kwa kuwa napinga misamaha ya kodi nilikataa na mpaka namaliza ubunge sijatumia msamaha huo wa kodi.
Kwa hiyo suala la fedha sio suala la msingi kabisa kwangu kwenye maamuzi yangu.
Fact: Mpendazoe alilipwa kiinua mgongo chake kwa muda wa miezi aliyotumikia Bunge. Sio kweli kwamba hakupewa kiinua mgongo chake. Alipewa na tunaweza kuthibitisha
Zitto njoo utete sera zako za ujamaa na siasa jamii
Mkuu namswali machache kwako!....ningependa kupata majibu....
1. Kwanini chama chako kinaungwa mkono na makada wengi wa CCM?..
2. Kwanini chama chako kina pambana na Chadema tu na sio CCM walio shika dola?
3 . kwanini watu walio kuzunguka na wenye kukunga mkono katika siasa zako hasa kwenye chama chako, Wana Watusi viongozi walio kulea kisiasa tena kwa dharau?...
Mfano...Msondo ambae ni mwanasheria wako.
Habibu mchange, na hawa wote ni makada wa Act!

Umeamua kumtimua Mkuu, hawezi Kurudi
Hii hela uliyopokea ilikuwa ya nini
![]()
Mkuu haya si part ya mada fungua uzi mpya umuulize atakujibu
Teh Teh kwani Zitto alifukuzwa...? sheria ya mafao inasemaje kuhusu wabunge?
Hii ni voucher ya malipo na chini kuna sehemu ya kupokea ambayo Zitto alitakiwa kuweka saini yake kama mpokeaji na sehemu ya shahidi na mlipaji. Mbona hakuna saini zao? mnamtafuta mtu hadi uvunguni na bado hampati jibu ama kweli...Hii hela uliyopokea ilikuwa ya nini
![]()
Naomba niweke sawa kidogo tu kuondoa upotoshaji wa makusudi. Kwanza mimi nasikia tu kwenye vyombo vya habari kuhusu suala la mafao. Halinisumbui. Nawakumbusha;
- Toka mwaka 2011 mwezi Juni niliacha kupokea posho za vikao. Kwa mwaka posho za vikao ni takribani shs 24 milioni.
- Wabunge hupewa msamaha wa kodi kwenye magari wanayonunua. Kwa kuwa napinga misamaha ya kodi nilikataa na mpaka namaliza ubunge sijatumia msamaha huo wa kodi.
Kwa hiyo suala la fedha sio suala la msingi kabisa kwangu kwenye maamuzi yangu.
Fact: Mpendazoe alilipwa kiinua mgongo chake kwa muda wa miezi aliyotumikia Bunge. Sio kweli kwamba hakupewa kiinua mgongo chake. Alipewa na tunaweza kuthibitisha
stupid words
Hii ni voucher ya malipo na chini kuna sehemu ya kupokea ambayo Zitto alitakiwa kuweka saini yake kama mpokeaji na sehemu ya shahidi na lipaji. Mbona hakuna saini yake? mnamtafuta mtu hadi uvunguni na bado hampati jibu ama kweli...
Cc Zitto njoo huku ujibu acha kuoga na tope!
Hii ni voucher ya malipo na chini kuna sehemu ya kupokea ambayo Zitto alitakiwa kuweka saini yake kama mpokeaji na sehemu ya shahidi na mlipaji. Mbona hakuna saini zao? mnamtafuta mtu hadi uvunguni na bado hampati jibu ama kweli...
jiwe limekugonga eeh...! cocroach you!
Kama hujui Km zitto amefukuzwa au laaa hii so sehemu sahihi kwako
Naomba niweke sawa kidogo tu kuondoa upotoshaji wa makusudi. Kwanza mimi nasikia tu kwenye vyombo vya habari kuhusu suala la mafao. Halinisumbui. Nawakumbusha;
- Toka mwaka 2011 mwezi Juni niliacha kupokea posho za vikao. Kwa mwaka posho za vikao ni takribani shs 24 milioni.
- Wabunge hupewa msamaha wa kodi kwenye magari wanayonunua. Kwa kuwa napinga misamaha ya kodi nilikataa na mpaka namaliza ubunge sijatumia msamaha huo wa kodi.
Kwa hiyo suala la fedha sio suala la msingi kabisa kwangu kwenye maamuzi yangu.
Fact: Mpendazoe alilipwa kiinua mgongo chake kwa muda wa miezi aliyotumikia Bunge. Sio kweli kwamba hakupewa kiinua mgongo chake. Alipewa na tunaweza kuthibitisha
Hii hela uliyopokea ilikuwa ya nini
![]()
Kama umekuja kumsadia kumjibia Zitto naomba ujibu utofauti wa maelezo yake katika post 111
Naona unajitoa fahamu tulia dawa ikuingie kamanda majibu ya Zitto mujarbu.Hebu elezea vizuri basi.