Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,645
Last edited by a moderator:
Naombeni tutafakari ni kwanini Mpendazoe hakupewa mafao yake ya ubunge wakati ule,Lakini Zitto anapewa?
Hili si jambo la kupuuza kwa ustawi wa Demokrasia yetu na sheria za nchi.
Ni vema tujadili kujua kama bunge letu lina upendeleo wa sheria au kanuni?
Tujiulize angekuwa Lissu Mnyika,Wenje au Mnyaa wangepewa?
*************** Majibu kutoka kwa Zitto ****************
Tatizo lenu mlio wengi mnafikiri kila mtu akipokea mshahara anakula na kusubiri mwingine kama walivyo watumishi wengi..Huyu ni mmoja ya Watanzania ambao serious auditing ya mali, mapato na matumizi ikipita hana uwezo wa ku account utajiri aliojilimbikizia kwa miaka kumi tu, ni sawa na EL tu huyu, labda anamwandalia pia nafasi ya kugombea urais EL huko ACT
Tatizo lenu mlio wengi mnafikiri kila mtu akipokea mshahara anakula na kusubiri mwingine kama walivyo watumishi wengi..
Unachotakiwa kuhoji ni vitega uchumi alivyo navyo mhusika kama haviendani na mali alizo nazo ndio uconnect dots sio unakimbilia hitimisho..