Kwanini Mpendazoe hakupewa mafao Zitto apewe?

Heshima kwako mkuu Zitto. Kuna taarifa kwamba pamoja na kususia posho pamoja msamaha WA kodi lakini kuna udhibitisho kwamba umevuna fedha nyingi zaidi ya hizo posho kutoka NSSF,IPTL,BUZWAGI na baadhi ya mashirika mengine ya umma jambo ambalo umeshindwa kukanusha mpaka Leo.

Katika hoja ambazo hawezi kukujibu ni hizo mkuu,Mara nyingi huwa humtonyesha kidonda maana ni ukweli mtupu alikula pesa hizo.
 
Mkuu watu wanataka mabadiliko kwa kuiondoa ccm lakini umekuwa msaliti wa mabdililiko hayo

Toka ajibu hapo juu, hoja zilizofuata hajajibu. Hivi kweli huyu ni ZZK aliyejibu hapa!?
 
Kama kweli ni mzalendo kwanini mmepindua limbu alikuwa na makosa gani kuna wakati ulimdanganya mwana ukawa wetu kafulila apindue uongozi wa ncrr magezi kwanini huwa unatabia baya kiasi hichi?
Kuna mjamaa anatembelea hamer ?
 
Naomba niweke sawa kidogo tu kuondoa upotoshaji wa makusudi. Kwanza mimi nasikia tu kwenye vyombo vya habari kuhusu suala la mafao. Halinisumbui. Nawakumbusha;

  1. Toka mwaka 2011 mwezi Juni niliacha kupokea posho za vikao. Kwa mwaka posho za vikao ni takribani shs 24 milioni.
  2. Wabunge hupewa msamaha wa kodi kwenye magari wanayonunua. Kwa kuwa napinga misamaha ya kodi nilikataa na mpaka namaliza ubunge sijatumia msamaha huo wa kodi.

Kwa hiyo suala la fedha sio suala la msingi kabisa kwangu kwenye maamuzi yangu.

Fact: Mpendazoe alilipwa kiinua mgongo chake kwa muda wa miezi aliyotumikia Bunge. Sio kweli kwamba hakupewa kiinua mgongo chake. Alipewa na tunaweza kuthibitisha

Dah....wewe mtu wewe!! Yaani hapo ume solid the line. No more doubts.
 
Mzalendo Mjamaa Zito Kabwe ivi Chadema umefukuzwa au umeng'atuka?toa ufafanuzi kuepusha usumbufu

Mbona alishafukuzwa CDM long time tu hii sinema ya kung'atuka ni yake na makinda lakini imestukiwa.
 
Naomba niweke sawa kidogo tu kuondoa upotoshaji wa makusudi. Kwanza mimi nasikia tu kwenye vyombo vya habari kuhusu suala la mafao. Halinisumbui. Nawakumbusha;

  1. Toka mwaka 2011 mwezi Juni niliacha kupokea posho za vikao. Kwa mwaka posho za vikao ni takribani shs 24 milioni.
  2. Wabunge hupewa msamaha wa kodi kwenye magari wanayonunua. Kwa kuwa napinga misamaha ya kodi nilikataa na mpaka namaliza ubunge sijatumia msamaha huo wa kodi.

Kwa hiyo suala la fedha sio suala la msingi kabisa kwangu kwenye maamuzi yangu.

Fact: Mpendazoe alilipwa kiinua mgongo chake kwa muda wa miezi aliyotumikia Bunge. Sio kweli kwamba hakupewa kiinua mgongo chake. Alipewa na tunaweza kuthibitisha

Teh Teh Zitto hakika wewe ni mwamba wa hoja ..
 
Last edited by a moderator:

Low minds will fight and struggle to keep you low for as much as possible, stupid people would love to see you stupid as well, being too different justifies rejection from the group, walk walk walk...
 
Kaka yangu Zitto Pole sanaa, Ungemsikilima Prof. Baregu na Marehemu Mama yako- yasingekutokea hayo yaliyokutokea , CCM siyo watu wazuri wanakutumia then wanakudump , pole sana jenga Chama chako sasa ,Ongea na LIMBU vizuri usiwe na haraka ya vyeo huko ACT. anza polepole watu wakikubali utakuwa tu mwenyekiti wa ACT. AchaTamaa ya Uongozi.

Teh Teh bavicha wote chaliii hoja moja tuu ya zitto..
 
Teh Teh hakika Zitto ni kiboko Bavicha wote wamekimbia..labda wakamlete Slaa..hahaha wamebaki na uongo wa mawio teh teh
 
Last edited by a moderator:
Kaka yangu Zitto Pole sanaa, Ungemsikilima Prof. Baregu na Marehemu Mama yako- yasingekutokea hayo yaliyokutokea , CCM siyo watu wazuri wanakutumia then wanakudump , pole sana jenga Chama chako sasa ,Ongea na LIMBU vizuri usiwe na haraka ya vyeo huko ACT. anza polepole watu wakikubali utakuwa tu mwenyekiti wa ACT. AchaTamaa ya Uongozi.

Teh Teh bavicha wote chaliii hoja moja tuu ya zitto..
 
Kama kweli ni mzalendo kwanini mmepindua limbu alikuwa na makosa gani kuna wakati ulimdanganya mwana ukawa wetu kafulila apindue uongozi wa ncrr magezi kwanini huwa unatabia baya kiasi hichi?
Kuna mjamaa anatembelea hamer ?

Teh Teh kweli Zitto ni kiboko yenu Kibo10 kakimbia baada ya Zitto kumwaga hoja wewe umeona ugeuze mada
 
Last edited by a moderator:
Zitto

Naomba kujua yafuatayo
1. Wafanyakazi wengine wakifukuzwa kazi hawalipwi mafao yao, kwanini ninyi mlipwe??
2. Ulikuwa unasimamia mashirika ya hifadhi za jamii je! Uliwahi kukemea hill LA mpendazoe au ulipotezea ukijua zamu yako yaja.

Natamani upate SIKU ya kujibu hoja hapa jukwaani

Naomba kujua kwanini wafanyakaz has a wakufunzi wa vyuo vya Serikali wakijihusisha na siasa wanafukuzwa isipokuwa wale wa ccm na swaiba wako Kitila Mkumbo, au mnafanya kazi wanazofanya ccm
 
Last edited by a moderator:
Teh Teh hakika Zitto ni kiboko Bavicha wote wamekimbia..labda wakamlete Slaa..hahaha wamebaki na uongo wa mawio teh teh

Pwa hahahaha....hoja?watu wamemkimbiza kwa viswali vepesi kasign out sasa hivi anachungulia tu.
Kama kweli ni mjamaa aje hapa tuhoji ujamaa wake,Mtu tapeli na hoja zake za kitapeli eti unamsifu,Zitto hana hadhi ya Dr slaa iwe kwa hoja ama ya kijamii.
 
Last edited by a moderator:
Nchi hii hata ukijiuZulu unaitwa mstaafu na mafao kama kawa , ukijiunga tena kwenye inshu nyengine unalamba mafao tena yaani raha , sina hakika mfano warioba pengine amepata mafao ya waziri mkuu, makamo wa raisi kalamba, ya jaji mkuu kalamba, ya mwenye kiti wa tume kalamba yaani rahaaaa ni mafao tu
 
Pwa hahahaha....hoja?watu wamemkimbiza kwa viswali vepesi kasign out sasa hivi anachungulia tu.
Kama kweli ni mjamaa aje hapa tuhoji ujamaa wake,Mtu tapeli na hoja zake za kitapeli eti unamsifu,Zitto hana hadhi ya Dr slaa iwe kwa hoja ama ya kijamii.

Thats why kuna mtu alisema mna uwezo mdogo wa kufikiri maswali ambayo yalikuwa kwenye hoja yako amayajibu unataka nini tena? huna uwezo kabisa mbele ya Zitto! Kwani mada ilikiwa ina uhusu ujamaa au mafao ya Zitto na mpendazoe? Bavicha mtabadilika lini? hayo mengine andaa mada umuite Teh Teh
 
Naomba niweke sawa kidogo tu kuondoa upotoshaji wa makusudi. Kwanza mimi nasikia tu kwenye vyombo vya habari kuhusu suala la mafao. Halinisumbui. Nawakumbusha;

  1. Toka mwaka 2011 mwezi Juni niliacha kupokea posho za vikao. Kwa mwaka posho za vikao ni takribani shs 24 milioni.
  2. Wabunge hupewa msamaha wa kodi kwenye magari wanayonunua. Kwa kuwa napinga misamaha ya kodi nilikataa na mpaka namaliza ubunge sijatumia msamaha huo wa kodi.

Kwa hiyo suala la fedha sio suala la msingi kabisa kwangu kwenye maamuzi yangu.

Fact: Mpendazoe alilipwa kiinua mgongo chake kwa muda wa miezi aliyotumikia Bunge. Sio kweli kwamba hakupewa kiinua mgongo chake. Alipewa na tunaweza kuthibitisha

We Zito zuber Kabwe mbona unataka kuturudisha kwenye kauli za kifisadi za kusema million 10 ni za mboga Zito unapotea ndugu yangu kwakua ulikua unapewa hela na Serikali ya Ccm za malipo ya usalit na umbea unao wapelekea una hela kweli maana ulizichuma nyingi na ndio maana hizi ndogo kwa kuwapiga changa la macho wasiokujia unasema ulizikataa ukasamee.
 
Naomba kujua yafuatayo
1. Wafanyakazi wengine wakifukuzwa kazi hawalipwi mafao yao, kwanini ninyi mlipwe??
2. Ulikuwa unasimamia mashirika ya hifadhi za jamii je! Uliwahi kukemea hill LA mpendazoe au ulipotezea ukijua zamu yako yaja.

Natamani update SIKU a kujibu hoja hapa jukwaani

Teh Teh kwani Zitto alifukuzwa...? sheria ya mafao inasemaje kuhusu wabunge?
 
Back
Top Bottom