Hoja ilikuwa ni Kwanini Zitto analipwa mafao na Mpendazoe hakulipwa, Mzalendo Zitto ameshaipangua hapo juu. Hizi porojo zako nyingine anzishia thread yake.Pesa za kuzunguka nchi nzima mpepata wapi kama sio wafadhili wenu ccm wamewapa?
msajili wa vyama vya siasa anzeni mapema ukaguzi wa act ni tishio kwa usalama wa taifa
Naombeni tutafakari ni kwanini Mpendazoe hakupewa mafao yake ya ubunge wakati ule,Lakini Zitto anapewa?
Hili si jambo la kupuuza kwa ustawi wa Demokrasia yetu na sheria za nchi.
Ni vema tujadili kujua kama bunge letu lina upendeleo wa sheria au kanuni?
Tujiulize angekuwa Lissu Mnyika,Wenje au Mnyaa wangepewa?
mkuu thibitisha mpendazoe alipewa mafao,eti unafanya biashara na mashirika uliyokuwa unayakagua!!!una tofauti gani na chenge na iptl yake?
Sipendi usaliti na undumilakuwili wako lakini kwa hili uko sahihi,Mpendazoe alilipwa kiinua mgongo kwa sababu aliahidiwa na Sitta baada ya kukubali kuvaa mabomu kutangulia CCJ,bt Zito,Mbunge akifukuzwa bungeni kwa mujibu wa kanuni analipwa?usiniambie sijui nani mbona alilipwa!
Mbona hata makazini, maofisini haya mambo yapo tuu, double standards zipo nyingi sana, inategemea una mrengo gani na bosi wako.
Zitto anatoa mapovu mengi kujitetea, sawa ameacha kupokea posho ya 24m, lakini anapokea 500m escrow, hapo nani mjinga wa kudanganywa?
Pesa za kuzunguka nchi nzima mpepata wapi kama sio wafadhili wenu ccm wamewapa?
msajili wa vyama vya siasa anzeni mapema ukaguzi wa act ni tishio kwa usalama wa taifa
Unajidanya unajua wakati hujui kitu, haya onyesha hiyo kanuni inayosema mbunge akijiuzulu anakosa mafao?hakuna kitu kama hicho.
Japo mafao yanakokotolewa kwa muda uliokuwa bungeni, hivyo atakavyopata aliyejiuzulu kabla bunge halijavunjwa atapata pungufu ya miezi kadhaa ukilinganisha na wengine.
Kweli machiz wapo wengi.Kwahiyo Zitto akala za Escrow alafu Prof Muhongo na Pinda wakashindwa kumlipua?chiz kweli wewe l[/QUOTEmjaaa anamiliki magorofa magri ya kifahari eti mjaa acheni utapeli wa kitoto kama desi
Ona sasa ata kuandika hujui?kweli umepaniki ndugu.Vumilia tu.
ACT ndio kwanza inaanza, hii level iliyopo sasa ndio level ya chini zaidi iliyonayo, kuanzia tarehe 29/03 chama kinaanza kazi rasmi.Vumilia tu ndugu lakin karibu pia tujenge chama kinatenda kinachosema.
ACT WAZALENDO
Pesa za kuzunguka nchi nzima mpepata wapi kama sio wafadhili wenu ccm wamewapa?
msajili wa vyama vya siasa anzeni mapema ukaguzi wa act ni tishio kwa usalama wa taifa
Inadaiwa Zitto alitaka ajiunge na ACT-Kigoma tangu mwaka jana mwezi wa 9,na huu ndo unaweza ukawa mwezi ambao Zzk alichukua kadi ya chama chake that y ukitazama kwenye picha kadi yake unaonekana si mpya kabisa.
Nikirudi kwenye hoja ya msingi inadaiwa Zzk alishauriwa na spika wa Bunge mama Anna Makinda kwamba akiachana na CHADEMA na kujiunga na chama alichokiasisi cha ACT-Kigoma,asingepata stahiki zake kibunge,akashauriwa kwamba anaweza kufikia maamuzi hayo ikiwa imebakia miezi 3-4 kabla ya bunge halijavunjwa yaani mwezi wa 7,that y Zzk aliufyata mpaka hapo juzi baada ya kuahikikishiwa kulipwa mafao yake yote ya kibunge,ndo akasepa,(hapa alijari tumbo lake zaidi).
Na hii pia itaihusu familia ya Komba ,watalipwa stahiki zote ambazo marehemu kapten Komba(R.I.P)angelipwa kama angefika mwezi wa 7 bunge litakapovunjwa.
Bt kwa Mpendazoe sijui ni lini aliacha kiti chake bt pia kujiunga kwake na CDM kulimkosti,Zzk ni kibaraka wao,that y wanambeba,shetani hawezi watupa mawakala wao.
Duuuh! wakaskazini mna roho mbaya! kwahiyo Mbowe na Slaah na mchumbake ndo wana haki ya kuzungukaa nchi nzima! ?
Nani alikuambia zitto alijiuzulu?
Mbona alishafukuzwa CDM toka mwaka jana?
Au unadhani hatujui mipango yake na Makinda?
Zitto ni kibaraka mkuu wa Ccm wanajitahidi kumbeba hata kwa kuvunja sheria lakini wallah nakuambia hatobebeka mwisho wa siku tutamsahau kwenye siasa kama wenzie wote walioendekeza siasa za usaliti.
Wana haki maana chama kimekaguliwa na vyanzo vyake vya fedha vinajulikana.
Vipi ACT wanapata wapi fedha za kurusha matangazo Live kwenye mkutano wao?
Au baada ya zitto kupewa mafao tatanishi na ruzuku wameanza kupewa?
Muulize Dr Slaa kama Zitto alifukuzwa au kajiuzulu, kama ata hilo ujue utajuaje mengine?wewe soma tu mada humu, kuchangia hilo level bado.
Kwa sasa upo chekechea ya siasa, soma kwanza kisha ukishajua ndio utaweza kuchangia.Saiz bado hujui lolote.
Siasa ni nini?nipe jibu la hili swali msomi wa sayasi ya siasa
Naomba niweke sawa kidogo tu kuondoa upotoshaji wa makusudi. Kwanza mimi nasikia tu kwenye vyombo vya habari kuhusu suala la mafao. Halinisumbui. Nawakumbusha;
- Toka mwaka 2011 mwezi Juni niliacha kupokea posho za vikao. Kwa mwaka posho za vikao ni takribani shs 24 milioni.
- Wabunge hupewa msamaha wa kodi kwenye magari wanayonunua. Kwa kuwa napinga misamaha ya kodi nilikataa na mpaka namaliza ubunge sijatumia msamaha huo wa kodi.
Kwa hiyo suala la fedha sio suala la msingi kabisa kwangu kwenye maamuzi yangu.
Fact: Mpendazoe alilipwa kiinua mgongo chake kwa muda wa miezi aliyotumikia Bunge. Sio kweli kwamba hakupewa kiinua mgongo chake. Alipewa na tunaweza kuthibitisha