Kwanini MO Dewji anataka kufunga kiwanda chake cha chai Nchini Tanzania? Bashe amgomea!

Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga viwanda vyake.

Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na serikali kwanza kabla hajachukua uamuzi huo, ambao unatarajiwa kuathiri watu wengi wanaofanya kazi kwenye viwanda hivyo .

Lakini swali letu ni hili, kwanini MO amefikia hatua ya kufunga viwanda vyake alivyovijenga kwa gharama kubwa na kufunga mitambo ya kisasa? kuna nini?

Swali jingine ni hili, kwanini jambo hili lishughulikiwe na Wizara ya kilimo badala ya Wizara ya Viwanda?

View attachment 2946409
Anafunga viwanda vyote au vya mkonge tu?
 
Dogo mbona hupiganii haki za wale waandishi wenzako wa mwanahalisi waliotapeliwa na kijana wa mbowe?
 
Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga viwanda vyake.

Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na serikali kwanza kabla hajachukua uamuzi huo, ambao unatarajiwa kuathiri watu wengi wanaofanya kazi kwenye viwanda hivyo .

Lakini swali letu ni hili, kwanini MO amefikia hatua ya kufunga viwanda vyake alivyovijenga kwa gharama kubwa na kufunga mitambo ya kisasa? kuna nini?

Swali jingine ni hili, kwanini jambo hili lishughulikiwe na Wizara ya kilimo badala ya Wizara ya Viwanda?

View attachment 2946409
🤔🙄🤐
 
Bashe kibaraka katumwa na Mo atishie nyau Ila sio vizuri hilo take waziri Bashe anaharibu kwa hiyo statement kuwa mwekezaji ukiwekeza Tanzania huruhusiwi kufunga biashara serikali itakukomalia.Hiyo statement inatisha wawekezaji

Raisi amuondoe uwaziri
Huyu Bashe .....mbona siku hizi kama karogwa?.....huko nyuma hakuwa hivyo.
 
Huko duniani ukiwa mfanyabiashara mkubwa unatakiwa uuze Shea ili usiwe kibri wenye Shea nyingi ndio waamuzi wa nini kifanyike....hili ni somo....je?kesho mzee Bakhresa nae akiamua kufunga...itakuwaje?....athari ni kubwa kuliko tunavyofikiri....sijui nyie mnafikiriaje?...hebu wasomi tusaidieni hapo.....
Watu hawaangalii maslahi ya nchi, wapo kwaajili ya personal gains, vinginevyo hii isingetokea katu hata siku Moja kuacha watu wachache wamiliki uchumi wa nchi
 
Back
Top Bottom