Viwanda vilivyomshinda kuendesha Ni vile vinavyo saga chai Kama Ambangulu, Dindira huko TANGA na vingine mby na Iringa. Hivi vya chai alivinunua kutoka kwa wazungu.Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga viwanda vyake.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na serikali kwanza kabla hajachukua uamuzi huo, ambao unatarajiwa kuathiri watu wengi wanaofanya kazi kwenye viwanda hivyo .
Lakini swali letu ni hili, kwanini MO amefikia hatua ya kufunga viwanda vyake alivyovijenga kwa gharama kubwa na kufunga mitambo ya kisasa? kuna nini?
Swali jingine ni hili, kwanini jambo hili lishughulikiwe na Wizara ya kilimo badala ya Wizara ya Viwanda?
View attachment 2946409
Viwanda vyake alivyojenda Ni Kama Nicola, Mo energy, Cha ngano na kile Cha mafuta ya alizeti, nimesahau na kile Cha maji ya kunywa.