Kwanini MO avae saa copy za Apple Watch?

Billionea kijana zaidi Africa mwenye miaka 46 MO, sielewi kwa nini kila nikimuona anavaa smartwatch za kopy za kichina za Apple Watch badala ya original smartwatch za Apple.

Kwa mfano kuna picha kaweka Instagram kavaa smart watch ya kichina ambayo ni copy ya apple watch yenye brand ya kichina ya fitbit ambayo huuzwa kwa bei ya 150k TSH, tofauti na original Apple Watch ambayo huuzwa kati ya 1.5 million. TSH.View attachment 1986944View attachment 1986945View attachment 1986947
Siyo copy ya apple watch bali ni brand ya fitbit. Huenda ana sababu zake za kupenda fitbit kuliko apple watch.
 
Billionea kijana zaidi Africa mwenye miaka 46 MO, sielewi kwa nini kila nikimuona anavaa smartwatch za kopy za kichina za Apple Watch badala ya original smartwatch za Apple.

Kwa mfano kuna picha kaweka Instagram kavaa smart watch ya kichina ambayo ni copy ya apple watch yenye brand ya kichina ya fitbit ambayo huuzwa kwa bei ya 150k TSH, tofauti na original Apple Watch ambayo huuzwa kati ya 1.5 million. TSH.View attachment 1986944View attachment 1986945View attachment 1986947
huyo jamaa ana maisha ya kivyake,ukiona Tv anayotumia hata yangu ni nzuri na ya bei zaidi ya yake,ana li sumsung la zamani sana
kwa kifupi anaishi maisha ya kawaida sana ,hana vitu vya kuendana na pesa yake,sisi masikini ndio tunapenda vitu vizuri
 
Ok hata billion 20 katoa cheki hewa. Ila endelea.

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Billionea kijana zaidi Africa mwenye miaka 46 MO, sielewi kwa nini kila nikimuona anavaa smartwatch za kopy za kichina za Apple Watch badala ya original smartwatch za Apple.

Kwa mfano kuna picha kaweka Instagram kavaa smart watch ya kichina ambayo ni copy ya apple watch yenye brand ya kichina ya fitbit ambayo huuzwa kwa bei ya 150k TSH, tofauti na original Apple Watch ambayo huuzwa kati ya 1.5 million. TSH.View attachment 1986944View attachment 1986945View attachment 1986947
Ila we jamaa, Fitbit wapo zamani na wanatengeneza hizo saa, Apple watch za juzi tu.

Na Fitbit kama jina lilivyo ni za watu wa mazoezi, taja superstar yoyote Ronaldo, Messi na wengineo wanatumia Fitbit.
 
umeshaanza kudai bilioni 20, sio saa tena? 😂😂😂. Kweli kuna watu na viatu!
mwamba kanishangaza sana huyo😂 mambo ya bilion 20 sijui yanahusiana nini na comment yangu
hii ndio wanasiasa wanaita kulishana maneno,anataka kunilisha maneno nionekane nina tatizo na "Muhamedi"
 
Ila we jamaa, Fitbit wapo zamani na wanatengeneza hizo saa, Apple watch za juzi tu.

Na Fitbit kama jina lilivyo ni za watu wa mazoezi, taja superstar yoyote Ronaldo, Messi na wengineo wanatumia Fitbit.
Nilikuwa nasubiri Chief-Mkwawa na Mwl.RCT watie neno tufunge mjadala.
Akhsante mkuu Chief-Mkwawa kwa kutufungia mjadala wa masikini kumsema tajiri kwa muonekano na si kwa uhalisia.
 
Fake vs original ni mtazqmo tu, mfano wazungu wengi hawali kuku wa kienyeji, uliza mahoteleni wanaona hao sio kuku ni ndege pori tu...kuku wanawajua kuwa ni broiler.....wabongo wao kienyeji ndio wanaona og broiler wanaona fake, ni mazamo tu.

Hizi digital watch na fitness watch zipo za chapa nyingi tu na zote zinafanya kitu kile kile sasa kuona mtu amevaa brand tofauti eti ni fake nadhani si sawa....ni sawa na yule alieaminisha watu eti iphone 13 za tanzania ni fake??

Mtu akinunua kitu anaangalia matumizi yake na ubora suala la chapa ni suala jingine kabisa....
 
Billionea kijana zaidi Africa mwenye miaka 46 MO, sielewi kwa nini kila nikimuona anavaa smartwatch za kopy za kichina za Apple Watch badala ya original smartwatch za Apple.

Kwa mfano kuna picha kaweka Instagram kavaa smart watch ya kichina ambayo ni copy ya apple watch yenye brand ya kichina ya fitbit ambayo huuzwa kwa bei ya 150k TSH, tofauti na original Apple Watch ambayo huuzwa kati ya 1.5 million. TSH.View attachment 1986944View attachment 1986945View attachment 1986947
Uko serious kabisa? Mwenzetu unayevaa original umeajiri watu wangapi?
 
Back
Top Bottom