Kwanini MO avae saa copy za Apple Watch?

Sababu moja wapo ni bei (kutokana na ulivyoandika mwenyewe)
MO ni tajiri na mojawapo ya sababu zinazomfanya aendelee kuwa tajiri ni kuwa na descipline ya hela.

Jifunze kwake namna ya kuwa nandescipline ya fedha.

Kununua kitu kwaajili ya kuwakoga wengine si akili hata kidogo ,ni ushamba na ni ujinga.

Sababu ya pili ni mapenzi ya bidhaa yenyewe. Na kwasababu MO ni mfanyabiashara huenda pia ana strategies za kibiashara kuelekea China.

Isikushangaze ichukulie kawaida tu kama ambavyo yule waziri mkuu wa uingereza anavyoendaga kazini kwa baiskeli.

Au makazi ya Angela Merkel yalivyo ya kawaida licha ya yeye kuwa waziri mkuu wa nchi tajiri na akiwa analipwa kitita cha nguvu.

Ishi vile inavyokufurahisha wewe, ili mradi usivunje sheria na taratibu.
 
Back
Top Bottom