Kwanini mnyika?

Kwanini mnyika?

Tatizo dini na kabila vinamponza.
 
Nasisi FF ama Rejeo watolee ufafanuzi, kwanini Nchimbi? Maana muafaka umesainiwa na Mnyika pamoja na Nchimbi.
 

KWENYE RED. Hii ni sababu kubwa ya CDM kukosa wafuasi katika maeneo ya Waislamu wengi. Futa kauli yako ama sivyo unatoa msimamo wa CDM.
 
hapa hakuna cha dini wala kabila,magamba mpo ki-umbeumbe tu mtazusha kila linalowawasha kwenye midomo yenu.inawahusu nini muundo wa chama kisicho chenu?acheni umbea
 
Wana JF naomba katika maswala ya dini tuwaachie viongozi wetu wa dini. Hili jambo ni sensitive sana hasa kwa wakati huu ambao tunataka kushikamana kuliondoa taifa letu kwenye wenye madarka kuwapuuza wananchi.
Namuomba Mungu awape nyote moyo wa kuvumiliana.
Tujibizane kwa kuelimishana sio kwa vijembe ambavyo ni inflamatory.
Where great thinkers meet ideas are born and a way forward is determined. I am positive.
 
Muaizisha thread kwenya isasa amehoji mambo ya dini. kuna wachangiaji wantoa maoni ya dini. Je ndio Great thinker wa JF mnaona njia bora ya kujadili siasa?
 
Tatizo la watu wanakwepa kujibu hoja badala yake wanatoa majibu ya mkato. Suala la udini katika hile kamati kwa mtazamo wangu halikuwepo kwani wajumbe waisilamu walikuwa 3 na wasiokuwa waisilam 3. Tukija suala la Kukaimu linaweza kusababishwa na wakati. (1)Mfano wakati wa uchaguzi mkuu zito yeye alikuwa kwenye mambo ya kampeni na jimbo lake lipo Kigoma wakati Mnyika yupo Dar kwa hiyo ni rahisi kwa Mnyika kukaimu. 2. Kwa sasa Zitto ametoka hospitali kwa hiyo ni wakati wa kupata mapumziko. Naomba mashabiki wa CDM muwe mnajibu hoja badala ya kumkashifu mtoa mada kwani mkiwa mtafanya hivyo mtaongeza wafuasi katika chama vinginevyo mtazidi kutengeneza maadui kwani watu watawaona watu msiopenda kukosolewa.
 
Mtu aliyependekeza hii iitwe home of bogus thinkers hakukosea!!!!!
 
Sijaona elementi ya Udini,ila wewe ndo unaleta udini,umeanza vizuri unamaliza KISHOGA
PIMBI KWEL WEWE
Hivi Zitto alishamaliza shule huko Ujerumani? Inawezekana ikawa ni kwa sababu Zitto yuko busy na shule kwahiyo wangependa kumpa muda zaidi wa kusoma na kufanya shughuli za shule badala ya kuwa busy na shughuli za Chama. Mtoa mada nona unaanza kupandikiza udini hapo na hili ni tatizo kubwa sana kwa ndugu zetu waislamu maana hata kwenye sababu za msingi na zisizo na udini mnaanza kuhisi hivyo. Tujenge nchi yetu kwa pamoja tuache udini.
 
Tatizo la watu wanakwepa kujibu hoja badala yake wanatoa majibu ya mkato. Suala la udini katika hile kamati kwa mtazamo wangu halikuwepo kwani wajumbe waisilamu walikuwa 3 na wasiokuwa waisilam 3. Tukija suala la Kukaimu linaweza kusababishwa na wakati. (1)Mfano wakati wa uchaguzi mkuu zito yeye alikuwa kwenye mambo ya kampeni na jimbo lake lipo Kigoma wakati Mnyika yupo Dar kwa hiyo ni rahisi kwa Mnyika kukaimu. 2. Kwa sasa Zitto ametoka hospitali kwa hiyo ni wakati wa kupata mapumziko. Naomba mashabiki wa CDM muwe mnajibu hoja badala ya kumkashifu mtoa mada kwani mkiwa mtafanya hivyo mtaongeza wafuasi katika chama vinginevyo mtazidi kutengeneza maadui kwani watu watawaona watu msiopenda kukosolewa.

Great thinker hahitaji kujitangaza,ila hoja zake tu zitajionyesha. Ur real great thinker,no doubt abt dat.
 
Zito sio kwamba katengwa eti kwasababu ya uislam wake kwani pale haendi kuongoza wakristo ila wanachama. Kikubwa ninachokiona kama political Analyst zitto haaminiki na amekua na migogoro na chama kwa mda mrefu akapoteza INTEGRITY mbele ya wananchi. Pia CDM inafanya kila linalowezekana ili Zitto asishike nyadhifa zile za juu kma KATIBU MKUU au MWENYEKITI,ndo maana Mnyika anaandaliwa kukalia kiti kile.
 
Hayo Maswali yanaweza kujibiwa na Viongozi tu wa Chadema, Unless wengine mnaojibu ni Viongozi pia! - William
 
Mnyika hana nguvu sana ndani ya CDM ina anaaminika sana.(mNyika ana nguvu njee ya chama)
Mnyika anaweza kupewa nafasi yeyote nyeti ndani ya chama cdm kwa sababu ya uaminifu na nidhamu yake.
bravo mnyika
 
CHADEMA hakuna udini jamani.Safu ya juu ya Chama Kitaifa imesimama hivi:F.A.Mbowe-Mwenyekiti(Mkristo),S.Arfi-Makamu Mwenyekiti(Muislam), Dr.W.P.Slaa-Katibu Mkuu(Mkristo) na Z.Z.Kabwe-Naibu Katibu Mkuu(Muislam).Uwiano sawa.Sababu pekee ya JJ Mnyika kukaimu ni kutokana na mapumziko ya Kabwe baada ya kutoka matibabuni.You heard?
 
mara kwa mara tumeona na kusikia john mnyika akikaimu nafasi ya katibu mkuu wa chadema.
Protokali ziko wazi kuwa naibu katibu mkuu hupaswa kukaimu nafasi ya katibu mkuu pindi katibu mkuu anapokuwa hayupo.
Hili halifanyiki chadema. Je zitto haaminiki? Hana uwezo wa kushika nafasi hiyo nyeti?
Na kwanini yeye mwenyewe yupo kimya halalamiki mtu wa chini yake kuwa bosi wake kwa muda chamani?
Slaa(phd) na zitto ni member humu, nawaomba watatue huu utata
acha kuingilia majukumu na mipangilio ya watu.
 
Mara kwa mara tumeona na kusikia John Mnyika akikaimu nafasi ya Katibu Mkuu wa CHadema.
Protokali ziko wazi kuwa Naibu Katibu MKuu hupaswa kukaimu nafasi ya Katibu Mkuu pindi katibu Mkuu anapokuwa hayupo.
Hili halifanyiki Chadema. Je Zitto haaminiki? Hana uwezo wa kushika nafasi hiyo nyeti?
Na kwanini yeye mwenyewe yupo kimya halalamiki mtu wa chini yake kuwa bosi wake kwa muda chamani?
Slaa(PhD) na Zitto ni member humu, nawaomba watatue huu utata
zitto alikuwa mgonjwa so nafasi yake ilipata kaimu - akirudi rasmi ataendelea na cheo chake. mbona nyie wachokonozi sana? badala ya kujadili mambo ya msingi nyie mkiamka tu mnafikiri CDM wamefanya nini, namna hii hatuwezi kusonga mbele milele!!
 
Back
Top Bottom