DOMINIC FRANCIS
New Member
- Oct 4, 2011
- 1
- 0
mara nyingi tumekuwa tunaachana lakini hatuambiani ni kwann tumeachana mda mwingine c sababu za msingi pengine tunaweza kujufuza kutokana na makosa hayo hebu tuambiane
AD signature yako mbona siieleelewi? nivavadulie please.ziko kadhaa unataka kusikia number ngapi......??
AD signature yako mbona siieleelewi? nivavadulie please.
Rugby....
mmmmhhh haya bwana,tungo tata lakini.
Ki vipi bi shanga...??
up the guts.......its on for 2011.....rugby.....where and where? i am curious,just
up the guts.. ... ( a big run in rugby)
it's on for 2011 .... ( wanacheza sasa "rugby world cup is on now)
up the guts.. ... ( a big run in rugby)
it's on for 2011 .... ( wanacheza sasa "rugby world cup is on now)
ahsante kwa udadavuzi,wewe rugby mchezo wa kitasha,sisi wengine huku msasani mandazi road hobby yetu kucheza kiduku!
Rugby ya kimeru au kichagga?Afro unacheza Rugby wewe...?
Tuliachana kwa sababu muda wa kuachana ulifika....! Vinginevyo, nawe subiri maana siku ukiachana utapata jibu sahihi....!mara nyingi tumekuwa tunaachana lakini hatuambiani ni kwann tumeachana mda mwingine c sababu za msingi pengine tunaweza kujufuza kutokana na makosa hayo hebu tuambiane
Rugby ya kimeru au kichagga?