Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
Orayt, come this way without.....jamani mbavu zangu! Babu naomba niwe mjukuu wako ili na mimi unifanyie unajimu.Natanguliza shukrani

Uzuri wa Afroie hata kama anaachwa, kamwe hawezi kuachwa na babuye ODM....... vimeumana!una maneno weye! Na huyo AD wako kanambia anaogopa kuachwa.
Uzuri wa Afroie hata kama anaachwa, kamwe hawezi kuachwa na babuye ODM....... vimeumana!
Hana haja ya kuyasikia. Anayajua na anayatendea haki..........kimeumana mazima.AD umeyasikia hayo?
Hana haja ya kuyasikia. Anayajua na anayatendea haki..........kimeumana mazima.
Khaaa!bora salama,mimi naandaa pampas na bebiwoka!
tunasema with na without.........yaani Preta aje with or without kwa ODM aliye without but with.
Expire date zilifika ati hatari
Alinicheat,nlipogundua tukafanya mazungumzo ya aman na huyo mdada aliyenicheat nae,mwanaume alipogundua kama nimejua na nimewasiliana na huyo dada akaniambia " kukucd huna hadhi ya kua na mimi muache huyo dada ndiye ninayempenda" hyo ni baada ya miaka 5 ya mahusiano then baada ya miez 6 ananiambia "baby am sorry,i love u,naomba second chance" aarggh hivi nyie wanaume sa nyngne mnakuaga mmelogwa au vp! Go to hell najua upo humu na unaijua id yangu,sahau kuhusu kupewa second chance m.j.i.n.g.a wewe.... Sasaiv kwangu your like a cheap bag with no value!uliniona wanin sasa nakuona wakazi gani.