Kwanini mliachana hebu tuambie

Aisee afuu we mbona unatoka nje ya maada? Haya niambie CUF walipata kura ngapi kule Igunga.
Nipo ndani ya maada maana Rugby inachukua nafasi si ndio?
Ngoja nitoe sababu moja ya watu kuachana "Kufumania"
 
Sasa siyo mnacheza Rugby afu mnaachana na vitumbo vimevimba. Afrodenzi aliniahidi uzao wake wa kwanza lazima abinjue mapacha watatu lakini siyo wa CCM...........Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Kwa hiyo ODM unaniambiaje hapa kwa Afro? nisimuache si ndio?
 
Nipo ndani ya maada maana Rugby inachukua nafasi si ndio?
Ngoja nitoe sababu moja ya watu kuachana "Kufumania"
Kwa hiyo ili tusiachane tuache kufumaniana siyo?

Yeyote yule amfumaniaye ampendaye anatenda zambi juu ya nafsi yake, Asema ODM , na hataurisi ufalme wa Rugby ya kitandani. Watu wote waseme Amina.
 
Maudhi, kutoa penzi kwa masharti, kuwasiliana na wengine usiku wa manane, pia kilianza kuwa baridi
 
tutamnywesha vitu vizuri kwanza....
halafu hata skia maumivu...
Tena usisahau kuninywesha kwa lile bilauri uliloniagizia toka Shanghai.....nami ntakuwa nakukagua wakati unaninywesha ili nguvu iongezeke zaidi na zaidi........

Kwa hiyo ODM unaniambiaje hapa kwa Afro? nisimuache si ndio?
Aisee unaulizia sidiria kwenye manyonyo?
 
Kwa hiyo ili tusiachane tuache kufumaniana siyo?

Yeyote yule amfumaniaye ampendaye anatenda zambi juu ya nafsi yake, Asema ODM , na hataurisi ufalme wa Rugby ya kitandani. Watu wote waseme Amina.
Ndio hivyo babu.
Amen
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom