Kwanini mkisuluhisha migongano ktk mapenzi lazima kujipongeza?

Mkami Lum

JF-Expert Member
Feb 23, 2013
414
95
Wana mmu,
Kwa kujianzia mwenyewe, nimesha solve migongano ya mapenzi kama mara nne na watu watatu tofauti, ktk maisha yangu ya kimapenzi na baada ya hapo tunaishia kukamuana.
Nikawauliza na jamaa zangu kadhaa nao wakasema na wao huwa wanaishia na tukio hilo. Je, mwenzangu kwa uzoefu wako ktk mapenzi, hujawahi kutana na hii hali?
 
Muhimu,sasa mnahakikisha vip km vnyongo vmeisha,..and hapo kila mtu kam'miss mwenzie ,thts love
 
Wana mmu,
Kwa kujianzia mwenyewe, nimesha solve migongano ya mapenzi kama mara nne na watu watatu tofauti, ktk maisha yangu ya kimapenzi na baada ya hapo tunaishia kukamuana.
Nikawauliza na jamaa zangu kadhaa nao wakasema na wao huwa wanaishia na tukio hilo. Je, mwenzangu kwa uzoefu wako ktk mapenzi, hujawahi kutana na hii hali?

Wakati mwingine mie na mwenzangu humaaliza ugomvi wetu kwa njia hiyo bila kuzungumza chochote....
Yaani tunajikuta baada ya mechi hasira zote zimeisha......
 
kukamuana ndio mpango. tendo linaondoa stress zote. wewe jaribu utaona hata ukipishana na mwenzio usiku ukipiga mzigo tu ujue ugomvi umeisha lakini akichomoa asikupe ujue kuna laziada hapo...
 
Back
Top Bottom