Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,681
- 27,007
Uwe msafi , uwe mwema kuliko wote duniani utakufa kama vile anavyokufa mtenda dhambi n'a wote mtaoza.Mimi sijauwa mtu wala kumuibia mtu . Kufa Hakuna atayebaki. Hilo jiwe lenu lilifikiri Si jiwe ni jabali lakini yuko mtetezi wa wanyonge .
Ishi unavyoweza, wema hautazuia kifo chako.