Kwanini miradi aliyofanywa na Hayati Magufuli wanasema ni ya Awamu ya nne?

Hiyo ni sahihi kabisa. Kila raisi anakuwa na viporo vya miradi ambavyo humaliziwa na raisi anayefuata. Kwa hilo hakuna la ajabu. Mfano wa barabara inayounga Kijichi na Chekechea ilianza ujenzi mwezi wa Novemba 2015 na baada ya miaka miwili, jee hiyo alijenga nani?

Mradi wa barabara za mitaani DMDP tayari ulikuwa umeshainiwa na baadhi ya sehemu walikuwa wameanza kupima maeneo.

Pia iko miradi mingi ya aina hiyo. Hata yeye JPM angefanya baadhi na baada ya miaka 10 kuacha mingine imaliziwe na raisi anayefuata.
Ndivyo ilivyo...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Wamekazana na kishindo Cha awamu ya tano, wakati miradi ni ya awamu ya nne...
 
Nimetembea Tanzania sehemu nyingi kabla ya Magu (RIP) kuwa Rais kulikuwa hakuna barabara za lami, leo hii kila mahali hadi Mitaani lami, lakini wanasema ni Awamu ya 4 ilijenga, kwa nini wanadanganya na kulazimisha uongo?

I mean, kuna mambo mazuri tu yalifanywa na Awamu ya 4 kama UDOM au daraja la mto Malagarasi, barabara ya B’moyo - Msata ambayo inatumiwa sana na watu wa Kilimanjaro na Tanga kutokea Dar that’s just about it.

Lakini yaliyobakia yote ni Mzigo wa Magu kwa nini hawataki kukubali? Hata tu Barabara ya Moroko - Mwenge wanasema ni Japani na siyo Magu, wanakwenda mbali hata kusema flyovers ni za Awamu ya 4 na siyo Magu, kwa nini? Kuna kuna tatizo gani mzigo aliopiga Magu ukaachwa na kukubalika? Hakuna anayepinga UDOM ni ya Awamu 4?

Give credits where it’s due …
Tunaweka rekodi sahihi dhidi ya UWONGO ambao Magufuli alikuwa anaeneza kwa kuwaponda watangulizi wake ili yeye ainekane mchapakazi.

Akiwa hai tusingethubutu kumpinga kwani ukimpinga yatakupata ya Tundu Lissu au Ben Saanane.
 
Heshima ya kuzikwa Magufuli siioni, ile ni kashifa . Mtu akifa husitiriwa Na kuzikwa haraka ,hatembezwi mitaani Kama jambazi.

Wewe kufa ki ofisa Na Tai shingoni utembezwe masokoni Kama bidhaa Kama alivyofanyiwa huyo jambazi unayempigia debe
Utasitiliwa haraka wewe masikini kwakua utaoza mapema na hakuna mtu yoyote atakaejali.

Wewe endelea kubishana humu Jf huku ukisubiria kufa kibudu, kupingana na Magufuli ambae ni marehemu kwasasa hakutakufariji mateso ya umasikini wako😅.
 
Safi sana, hoja nzuri, unaona hata hawataki kumalizia Bwawa la Nyerere ambalo lingetupa zaidi ya 2000 MW na kuondoa mgao wa umeme.
Stiglers Gorge ni kitendawili, yaweza malizika kujengwa nje ya muda na kusababisha cost overrun hata ya Mara 3 ya original bid. Then kukamilika ni kitu kimoja na kupata Megawati 2100 ni kitu kingine. Kumbuka umeme wa kutegemea maji hutegemea vilevile kudra za Mwenyezi Mungu.
Wacha kushona mbeleko kabla mtoto hajazaliwa. Ni mapema mno kusherehekea umeme wa Stiglers Gorge. Changamoto zilizoikumba miradi ya ya Mtera na Kihansi hamna namna Rufiji itazikwepa
 
Achana na hao wauza madawa mkuu walidhibitiwa sana wakati wa Magu ndio maana hawataki kusikia mazuri yake lakini hawawezi watz wanajua sana tu mazuri ya Rais Magufuli na aliwanyoosha kweli kweli.
Magufuli alikuwa mwizi tu mwongo na MUUAJI muwache aendelee kuungua moto huko alikowekwa na Sir God
 
Utasitiliwa haraka wewe masikini kwakua utaoza mapema na hakuna mtu yoyote atakaejali.

Wewe endelea kubishana humu Jf huku ukisubiria kufa kibudu, kupingana na Magufuli ambae ni marehemu kwasasa hakutakufariji mateso ya umasikini wako😅.
Wewe endelea kulitukuza jiuwaji ,ukifa utavalishwa suti yake Na viatu vya Mukas. Tutakutembeza masokoni Na mitaani Kama bidhaa. Labda utajisikia
 
Hebu nioneshe nimesema wapi?

Uache tabia ya kuchafua marehemu wakati hauna uthibitisho wowote boya wewe.
Mchafu hachafuki. Magufuli alikwishachafuka muda mrefu kwa kumiliki kikundi haramu ndani ya Serikali maarufu kama "wasiojulikana". Na washirika wakubwa wakiwa Paul Makonda, Ole Sabaya, Musalika Makungu nk.

Tuliwaonya sana kuwa Magufuli siyo Mungu, iko siku hatakuwa madarakani na ukweli utawekwa wazi. Ule wakati ndiyo huu sasa
 
Back
Top Bottom