Chadema ni zitto bila zitto hakuna chadema kabisa ndiyo maana hawana jipya.
chadema bila zito imepwaya sana...utadhani vifaranga vya kuku vilivyonyeshewa na mvua..!

Heshima mbele wana bodi.
Nitajikita katika mikoa miwili ambayo nimeishi kwa muda sasa yaani mikoa ya Mbeya , Iringa , Dar na Mwanza.
Hapo nyuma mikutano ya CHADEMA ilikuwa na mvuto na hamasa kubwa sana, maandamo na mikutano yalivuta hisia za watu wengi na mahudhurio yalikuwa makubwa sana, kuanzia watoto, vijana , kinamama na hata wazee.
Jambo linalonisukuma kuanzisha uzi huu ni kuuliza kwa nini mahudhurio yamepungua sana, kwa nini mvuto wa maandamo na mikutano ya CHADEMA umepungua kwa kasi sana, nini chanzo cha yote hayo, kwa nini wananchi walewale waliokuwa wakijitokeza kwa wingi kwenye mikutano ya CHADEMA sasa hivi hawajitokezi tena.
Je wananchi :-
1. Wamepoteza imani na CHADEMA?
2. Wamekata tamaa ya vuguvugu la mabadiliko?
3. Wanamaisha duni na sasa wameamua kuachana na siasa na kujikita katika shughuli za kuwaongezea kipato
4. Wanaelimu ya kutosha ya uraia
Naomba kuwasilisha.

Kilichokupeleka ccm pilau tu,hivi kwenu huli...Wakiamua huwa wanapiga mabomu kwenye mikutano yao naona watanzania wameanza kujitambua.
Hivi Magdalena umekuaje?
Leo ni siku ya gulio Katerero.........uko wapi nikuchukue twende huko?Naona Chadema siku hizi mnavizia minada na magulio ndio mnafanya mikutano
Kama CDM haina mvuto ni kwa nini hizi takataka zinapigwa kiberiti?
![]()