Heshima mbele wana bodi.
Nitajikita katika mikoa miwili ambayo nimeishi kwa muda sasa yaani mikoa ya Mbeya , Iringa , Dar na Mwanza.
Hapo nyuma mikutano ya CHADEMA ilikuwa na mvuto na hamasa kubwa sana, maandamo na mikutano yalivuta hisia za watu wengi na mahudhurio yalikuwa makubwa sana, kuanzia watoto, vijana , kinamama na hata wazee.
Jambo linalonisukuma kuanzisha uzi huu ni kuuliza kwa nini mahudhurio yamepungua sana, kwa nini mvuto wa maandamo na mikutano ya CHADEMA umepungua kwa kasi sana, nini chanzo cha yote hayo, kwa nini wananchi walewale waliokuwa wakijitokeza kwa wingi kwenye mikutano ya CHADEMA sasa hivi hawajitokezi tena.
Je wananchi :-
1. Wamepoteza imani na CHADEMA?
2. Wamekata tamaa ya vuguvugu la mabadiliko?
3. Wanamaisha duni na sasa wameamua kuachana na siasa na kujikita katika shughuli za kuwaongezea kipato
4. Wanaelimu ya kutosha ya uraia
Naomba kuwasilisha.
Hebu CCM wafanye mkutano wao mtaa wa kwanza na CDM wafanye mtaa wa pili tuone ni chama gani kitaonekana ni BUNDI! BUT hakuna kukodisha ma-FUSO kwenda mbali kuomba watu wa kuhudhuria!
Heshima mbele wana bodi.
Nitajikita katika mikoa miwili ambayo nimeishi kwa muda sasa yaani mikoa ya Mbeya , Iringa , Dar na Mwanza.
Hapo nyuma mikutano ya CHADEMA ilikuwa na mvuto na hamasa kubwa sana, maandamo na mikutano yalivuta hisia za watu wengi na mahudhurio yalikuwa makubwa sana, kuanzia watoto, vijana , kinamama na hata wazee.
Jambo linalonisukuma kuanzisha uzi huu ni kuuliza kwa nini mahudhurio yamepungua sana, kwa nini mvuto wa maandamo na mikutano ya CHADEMA umepungua kwa kasi sana, nini chanzo cha yote hayo, kwa nini wananchi walewale waliokuwa wakijitokeza kwa wingi kwenye mikutano ya CHADEMA sasa hivi hawajitokezi tena.
1. Wamepoteza imani na CHADEMA?
2. Wamekata tamaa ya vuguvugu la mabadiliko?
3. Wanamaisha duni na sasa wameamua kuachana na siasa na kujikita katika shughuli za kuwaongezea kipato
4. Wanaelimu ya kutosha ya uraia
Naomba kuwasilisha.
Heshima mbele wana bodi.
Nitajikita katika mikoa miwili ambayo nimeishi kwa muda sasa yaani mikoa ya Mbeya , Iringa , Dar na Mwanza.
Hapo nyuma mikutano ya CHADEMA ilikuwa na mvuto na hamasa kubwa sana, maandamo na mikutano yalivuta hisia za watu wengi na mahudhurio yalikuwa makubwa sana, kuanzia watoto, vijana , kinamama na hata wazee.
Jambo linalonisukuma kuanzisha uzi huu ni kuuliza kwa nini mahudhurio yamepungua sana, kwa nini mvuto wa maandamo na mikutano ya CHADEMA umepungua kwa kasi sana, nini chanzo cha yote hayo, kwa nini wananchi walewale waliokuwa wakijitokeza kwa wingi kwenye mikutano ya CHADEMA sasa hivi hawajitokezi tena.
Je wananchi :-
1. Wamepoteza imani na CHADEMA?
2. Wamekata tamaa ya vuguvugu la mabadiliko?
3. Wanamaisha duni na sasa wameamua kuachana na siasa na kujikita katika shughuli za kuwaongezea kipato
4. Wanaelimu ya kutosha ya uraia
Naomba kuwasilisha.
Sababu zilizosababisha kukosa mvuto unazozisema wewe hizi hapa?
View attachment 134521 View attachment 134522 View attachment 134523
Heshima mbele wana bodi.
Nitajikita katika mikoa miwili ambayo nimeishi kwa muda sasa yaani mikoa ya Mbeya , Iringa , Dar na Mwanza.
Hapo nyuma mikutano ya CHADEMA ilikuwa na mvuto na hamasa kubwa sana, maandamo na mikutano yalivuta hisia za watu wengi na mahudhurio yalikuwa makubwa sana, kuanzia watoto, vijana , kinamama na hata wazee.
Jambo linalonisukuma kuanzisha uzi huu ni kuuliza kwa nini mahudhurio yamepungua sana, kwa nini mvuto wa maandamo na mikutano ya CHADEMA umepungua kwa kasi sana, nini chanzo cha yote hayo, kwa nini wananchi walewale waliokuwa wakijitokeza kwa wingi kwenye mikutano ya CHADEMA sasa hivi hawajitokezi tena.
Je wananchi :-
1. Wamepoteza imani na CHADEMA?
2. Wamekata tamaa ya vuguvugu la mabadiliko?
3. Wanamaisha duni na sasa wameamua kuachana na siasa na kujikita katika shughuli za kuwaongezea kipato
4. Wanaelimu ya kutosha ya uraia
Naomba kuwasilisha.
mkuu chama kipi chenye nidhamu ya pesa?Chadema inabidi wapeleke ruzuku mikoana, waimarishe matawi, wanunue vitendea kazi kama magari, piki piki n.k KUNA FAIDA GANI YA KUKODI CHOPA TATU KWA SIKU TATU KWA SHILINGI BILIONI MOJA WAKATI MAKAO MAKUU YA CHAMA HAYANA HADHI YA CHAMA KIKUU CHA UPINZANI?- AU NDO MUDA MUAFAKA WA KUZITAFUNA RUZUKU ZA CHAMA KWA KISINGIZIO CHA OPERATION FEKI?.
Chadema sijui Mshauri wao ni nani, siku nao CCM wakiamua kujitoa akili na kukodi Chopa 10 na kuzunguuka nchi nzima, si Chopa za Chadema zitasahaulika fasta?-
Bila kujenga chama kwenye grass-roots, bila kuwa na nidhamu ya fedha, bila kuwa na haki kwa wanachama, bila ya demokrasia ya kweli ndani ya chama, Chadema Wasahau kukubalika mbele ya Umma.