nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
Wewe utakuwa ni kifaranga cha msaliti!
Mmh watoto wengi..Sr.Magdalena, unamaanisha hivi ni kukosa mvuto?![]()
Heshima mbele wana bodi.
Nitajikita katika mikoa miwili ambayo nimeishi kwa muda sasa yaani mikoa ya Mbeya , Iringa , Dar na Mwanza.
Hapo nyuma mikutano ya CHADEMA ilikuwa na mvuto na hamasa kubwa sana, maandamo na mikutano yalivuta hisia za watu wengi na mahudhurio yalikuwa makubwa sana, kuanzia watoto, vijana , kinamama na hata wazee.
Jambo linalonisukuma kuanzisha uzi huu ni kuuliza kwa nini mahudhurio yamepungua sana, kwa nini mvuto wa maandamo na mikutano ya CHADEMA umepungua kwa kasi sana, nini chanzo cha yote hayo, kwa nini wananchi walewale waliokuwa wakijitokeza kwa wingi kwenye mikutano ya CHADEMA sasa hivi hawajitokezi tena.
Je wananchi :-
1. Wamepoteza imani na CHADEMA?
2. Wamekata tamaa ya vuguvugu la mabadiliko?
3. Wanamaisha duni na sasa wameamua kuachana na siasa na kujikita katika shughuli za kuwaongezea kipato
4. Wanaelimu ya kutosha ya uraia
Naomba kuwasilisha.

mpaka uone ma fuso,ma bus ya shabiby yakisomba watu ndiyo aone mkutano una mvuto

Hujui hata kuhesabu! Mikoa miwilo ambayo ni Mbeya Iringa Dar na Mwanza... shule za kata hizi!!!
Sr.Magdalena, unamaanisha hivi ni kukosa mvuto?![]()
Nimeangalia hii picha nimecheka sana eeeh Mungu tusaidie njaa mbaya jamani khaa..Sababu zilizosababisha kukosa mvuto unazozisema wewe hizi hapa?
View attachment 134521 View attachment 134522 View attachment 134523
Alitaka wawekewe mafuso na masinia ya pilau ndo auone mvuto.
Heshima mbele wana bodi.
Nitajikita katika mikoa miwili ambayo nimeishi kwa muda sasa yaani mikoa ya Mbeya , Iringa , Dar na Mwanza.
Hapo nyuma mikutano ya CHADEMA ilikuwa na mvuto na hamasa kubwa sana, maandamo na mikutano yalivuta hisia za watu wengi na mahudhurio yalikuwa makubwa sana, kuanzia watoto, vijana , kinamama na hata wazee.
Jambo linalonisukuma kuanzisha uzi huu ni kuuliza kwa nini mahudhurio yamepungua sana, kwa nini mvuto wa maandamo na mikutano ya CHADEMA umepungua kwa kasi sana, nini chanzo cha yote hayo, kwa nini wananchi walewale waliokuwa wakijitokeza kwa wingi kwenye mikutano ya CHADEMA sasa hivi hawajitokezi tena.
Je wananchi :-
1. Wamepoteza imani na CHADEMA?
2. Wamekata tamaa ya vuguvugu la mabadiliko?
3. Wanamaisha duni na sasa wameamua kuachana na siasa na kujikita katika shughuli za kuwaongezea kipato
4. Wanaelimu ya kutosha ya uraia
Naomba kuwasilisha.
HUYU MTU INAONEKANA ALIPATA DIVISION ZAIDI YA ZERO HATA KUHESABU KUNAMSHINDA, AU KAKOSEA PENGINE ALITAKA KUSEMA HANA MVUTO! mikoa miwili na mikoa aliyoorozesha vitu viwili tofauti.
Mmh watoto wengi..
Chadema inabidi wapeleke ruzuku mikoana, waimarishe matawi, wanunue vitendea kazi kama magari, piki piki n.k KUNA FAIDA GANI YA KUKODI CHOPA TATU KWA SIKU TATU KWA SHILINGI BILIONI MOJA WAKATI MAKAO MAKUU YA CHAMA HAYANA HADHI YA CHAMA KIKUU CHA UPINZANI?- AU NDO MUDA MUAFAKA WA KUZITAFUNA RUZUKU ZA CHAMA KWA KISINGIZIO CHA OPERATION FEKI?.
Chadema sijui Mshauri wao ni nani, siku nao CCM wakiamua kujitoa akili na kukodi Chopa 10 na kuzunguuka nchi nzima, si Chopa za Chadema zitasahaulika fasta?-
Bila kujenga chama kwenye grass-roots, bila kuwa na nidhamu ya fedha, bila kuwa na haki kwa wanachama, bila ya demokrasia ya kweli ndani ya chama, Chadema Wasahau kukubalika mbele ya Umma.
Ni kweli mtoa mada yupo sahii,juzi walikuja Mnyika na Lema Kule Katavi lkn mkutano ulikuwa na watu kiduchu sn ingawa walipiga PA za kutosha..nadhan wananchi hawakujitokeza bse walitangaziwa km ni Mbowe ndo anakuja.kiukweli Chadema hakina mvuto tena..
Hata Dr Slaa anawajua kuwa wapo vijana wa buku, wanakesha mitandaoni. Ameyasema hayo leo Jijini Mbeya