Kwanini mikutano ya CHADEMA kwa sasa haina MVUTO?

Sr. Magdalena

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
803
Reaction score
472
Heshima mbele wana bodi.

Nitajikita katika mikoa miwili ambayo nimeishi kwa muda sasa yaani mikoa ya Mbeya , Iringa , Dar na Mwanza.

Hapo nyuma mikutano ya CHADEMA ilikuwa na mvuto na hamasa kubwa sana, maandamo na mikutano yalivuta hisia za watu wengi na mahudhurio yalikuwa makubwa sana, kuanzia watoto, vijana , kinamama na hata wazee.

Jambo linalonisukuma kuanzisha uzi huu ni kuuliza kwa nini mahudhurio yamepungua sana, kwa nini mvuto wa maandamo na mikutano ya CHADEMA umepungua kwa kasi sana, nini chanzo cha yote hayo, kwa nini wananchi walewale waliokuwa wakijitokeza kwa wingi kwenye mikutano ya CHADEMA sasa hivi hawajitokezi tena.

Je wananchi :-

1. Wamepoteza imani na CHADEMA?
2. Wamekata tamaa ya vuguvugu la mabadiliko?
3. Wanamaisha duni na sasa wameamua kuachana na siasa na kujikita katika shughuli za kuwaongezea kipato
4. Wanaelimu ya kutosha ya uraia

Naomba kuwasilisha.
 
Chadema inabidi wapeleke ruzuku mikoana, waimarishe matawi, wanunue vitendea kazi kama magari, piki piki n.k KUNA FAIDA GANI YA KUKODI CHOPA TATU KWA SIKU TATU KWA SHILINGI BILIONI MOJA WAKATI MAKAO MAKUU YA CHAMA HAYANA HADHI YA CHAMA KIKUU CHA UPINZANI?- AU NDO MUDA MUAFAKA WA KUZITAFUNA RUZUKU ZA CHAMA KWA KISINGIZIO CHA OPERATION FEKI?.

Chadema sijui Mshauri wao ni nani, siku nao CCM wakiamua kujitoa akili na kukodi Chopa 10 na kuzunguuka nchi nzima, si Chopa za Chadema zitasahaulika fasta?-

Bila kujenga chama kwenye grass-roots, bila kuwa na nidhamu ya fedha, bila kuwa na haki kwa wanachama, bila ya demokrasia ya kweli ndani ya chama, Chadema Wasahau kukubalika mbele ya Umma.
 
Mvuto gani zaidi unahitaji? Kukosa pilau?
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    104.9 KB · Views: 2,748
labda useme moja kwa moja unaishauri ccm nao wakod hzo chopa.mbona umejbu off point wewe gamba la nyoka????
 
Mleta mada inaonekana ana makengeza kwenye ubongo wake.ina maana hata picha za opd (m4c)haoni?watu wengind bwana duh!
 
we kifaranga wa yuda umejitoa sana ufahamu mpaka huoni tena ukweli wa mambo
 
Hesabu zako zko vp kuna mikutano ya katikati ya wiki na ile ya mwsho wa wiki mahudhurio ni tofauti.
Kuna hii inayofanywa kuanzia saa 4 na jioni lazma tofauti iwepo.
Kuna suala kama operesheni ya sasa ya kushtukiza ratiba hupangwa ghafla ili kuepusha maafa yanayoandaliwa na wapinzani wa chama hiyo huleta idadi tofauti.
Pia ni afadhali hayo mahudhurio ya cdm kuliko vyama vingine pamoja na ccm mpaka kusomba watu.
 
mpaka uone ma fuso,ma bus ya shabiby yakisomba watu ndiyo aone mkutano una mvuto
 
Propaganda za CCM zinachefua kweli!

Yaani kwenye MWANGA wao wanaita GIZA na MBELE kwao ni NYUMA!
 
Heshima mbele wana bodi.

Nitajikita katika mikoa miwili ambayo nimeishi kwa muda sasa yaani mikoa ya Mbeya , Iringa , Dar na Mwanza.

Hapo nyuma mikutano ya CHADEMA ilikuwa na mvuto na hamasa kubwa sana, maandamo na mikutano yalivuta hisia za watu wengi na mahudhurio yalikuwa makubwa sana, kuanzia watoto, vijana , kinamama na hata wazee.

Jambo linalonisukuma kuanzisha uzi huu ni kuuliza kwa nini mahudhurio yamepungua sana, kwa nini mvuto wa maandamo na mikutano ya CHADEMA umepungua kwa kasi sana, nini chanzo cha yote hayo, kwa nini wananchi walewale waliokuwa wakijitokeza kwa wingi kwenye mikutano ya CHADEMA sasa hivi hawajitokezi tena.

Je wananchi :-

1. Wamepoteza imani na CHADEMA?
2. Wamekata tamaa ya vuguvugu la mabadiliko?
3. Wanamaisha duni na sasa wameamua kuachana na siasa na kujikita katika shughuli za kuwaongezea kipato
4. Wanaelimu ya kutosha ya uraia

Naomba kuwasilisha.

Hivi unajitambua we Mama ake Huruma!??
 
Wananchi wameshaanza kukashtukia hako kamradi ka utunishaji mfuko wa saccos ya Mbowe na Mtei, ili wakale bata na vimada nchi za nje, ni hilo tu basi.
 
Heshima mbele wana bodi.

Nitajikita katika mikoa miwili ambayo nimeishi kwa muda sasa yaani mikoa ya Mbeya , Iringa , Dar na Mwanza.

Hapo nyuma mikutano ya CHADEMA ilikuwa na mvuto na hamasa kubwa sana, maandamo na mikutano yalivuta hisia za watu wengi na mahudhurio yalikuwa makubwa sana, kuanzia watoto, vijana , kinamama na hata wazee.

Jambo linalonisukuma kuanzisha uzi huu ni kuuliza kwa nini mahudhurio yamepungua sana, kwa nini mvuto wa maandamo na mikutano ya CHADEMA umepungua kwa kasi sana, nini chanzo cha yote hayo, kwa nini wananchi walewale waliokuwa wakijitokeza kwa wingi kwenye mikutano ya CHADEMA sasa hivi hawajitokezi tena.

Je wananchi :-

1. Wamepoteza imani na CHADEMA?
2. Wamekata tamaa ya vuguvugu la mabadiliko?
3. Wanamaisha duni na sasa wameamua kuachana na siasa na kujikita katika shughuli za kuwaongezea kipato
4. Wanaelimu ya kutosha ya uraia

Naomba kuwasilisha.

Hivi unajitambua we Mama ake Huruma!?? ..
 
Sr.Magdalena, unamaanisha hivi ni kukosa mvuto?
attachment.php
 
HUYU MTU INAONEKANA ALIPATA DIVISION ZAIDI YA ZERO HATA KUHESABU KUNAMSHINDA, AU KAKOSEA PENGINE ALITAKA KUSEMA HANA MVUTO! mikoa miwili na mikoa aliyoorozesha vitu viwili tofauti.
 
Back
Top Bottom