Kwanini Migebuka haina soko kama Sato ama Sangara?

Tuchukue hoja ipi mana wachangiaji wengi wanasema ni ngumu kuwapata na kuwavua kwa sababu ya nature ya ziwa Tanganyika wewe unasema ni wengi na nirahisi kuwavua.

#MaendeleoHayanaChama
Hata wanapopatikana still bei rahisi kama kibua.Ingekuwa ni upatikanaji mbona dagaa wa kigoma hata kigoma tu uuzwa ghali
 
Wakuu habari.

Kama wewe ni mkazi ama umewahi ishi miji ya mwambao mwa ziwa Tanganyika utajionea anina nyingi sana ya samaki wakiwamo Migebuka,kuhe,dagaa kigoma n.k.

Ukiachilia mbali dagaa wa kigoma kupendwa na kuwa ni dagaa wanaongoza kuwa na bei kubwa nchini.

Migebuka ni moja ya samaki watamu na wenye virutubisho vingi na wakubwa ila wana soko dogo na bei ya chini na wanaliwa sana na wakazi wa pembezoni mwa ziwa Tanganyika.

Pamoja na yote hayo migebuka ama samaki wanaopatikana katika ziwa Tanganyika wamekua hawana soko ama umaarufu hapa nchini ukilinganisha na samaki wanao patikana ziwa Nyanza(Victoria).

Wafugaji wengi wa samaki wamejikita katika ufugaji wa samaki wanao patikana ziwa Nyanza hususani Sato na sangara..na ndio samaki wenye soko kubwa sana ndani na nje ya nchi.

Swali langu kwenu wa dau.

Je kipi kinafanya samaki hawa kutoka ziwa Tanganyika kuwa na soko hafifu ndani na nje ya nchi?

Je hawa samaki wanaweza kufungwa nje ya mazingira yao kama ilivyo sato ama kambare?

Nini kifanyike kuongeza ulaji na soko la hawa samaki kutoka ziwa Tanganyika?

#MaendeleoHayanaChama

View attachment 2285338
Tatizo ni kwamba tukila hao migebuka yenu inatufanya tupige kelele na kuwa wabishi wabishi kama Waha.
Sasa kwa kuwa wengi wetu huku tumestaarabika, tumeona isiwe tabu, tumewaachie mle nyie muendeleze ubishi wenu.
 
Salam wakum.
Mim sio mtaalam sana wa maswala ya history Ila history ya ujiji Ni hii

Kwamujibu wa historia ya mji wa ujiji miaka 5000 iliyopita katika ramani ya kwanza ya mjerumani ilikua na vijiji vitatu {3} I, South Africa ii,mzizima na chatatu ujiji .

Wazee wa zamani kutoka ujiji ndio walio pambania Uhuru wa nchi ya Tanganyika waziri mkuu wakwanza wa Tanganyika alikua Ni mtu wa ujiji

ujiji ndio mji unaotoa vijana wasomi,wenye vipaji vikubwa zaidi hapa nchini katika nyanja mbalimbali . Kisiasa,kidini,kimichezo,nk.

Ukiutafuta mkoa wa kigoma kwenye ramani ya Tanzania huupati utapata ujiji kigoma. Na sabau sababu kubwa ya inasemekana kua Ni mgebuka ndio unawafanya watoto au walaji wa migebuka kuwa waelevu sana na wenye uwezo binafsi

Hayati jk,nyerere ndio mtu wakwanza alie fanya figisu figisu ya kuwadhoofisha watu na wakazi wa ujiji ili wasipate nafasi kubwakubwa serekalini maeneo fofauti fofauti.

Kwaiyo sababu ya samaki aina mgebuka au samaki wa ziwa Tanganyika kutothaminika au kutopata soko la ndani Ni figisu figisu za viongozi walio pita huko nyuma.

Alie jitahidi kuwafuta machozi watu wa kigoma Ni msataafu jk,kikwete.

Wataalam wa historia mtanisaidia.
Unataka tukusaidie kusema Uongo?
 
Tatizo ni kwamba tukila hao migebuka yenu inatufanya tupige kelele na kuwa wabishi wabishi kama Waha.
Sasa kwa kuwa wengi wetu huku tumestaarabika, tumeona isiwe tabu, tumewaachie mle nyie muendeleze ubishi wenu.
We mbuzi unasemaje wakati migebuka wanaliwa na wafipa huko Rukwa , DRC Burundi hadi Zambia kote huko ni waha ? Usiongee kwa kutumia m**ako

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ni uzembe tu unafanyika huko Kigoma,hivi serikali imeshindwa kuwa na boti za kisasa zinazoweza kwenda kwenye kina kirefu kwa ajili ya uvuvi,tatizo nchi yetu imezungukwa na maji almost kila upande lakini ajabu ni kuwa kitoweo cha samaki kimekuwa ni kama anasa unlike wenzetu huko ulaya...
 
Tanzania nyama ni bei rahisi sana ila samaki ni aghali mno.

Ulaya nyama ya ng'ombe ni ishu mzee!
 
Wakuu habari.

Kama wewe ni mkazi ama umewahi ishi miji ya mwambao mwa ziwa Tanganyika utajionea anina nyingi sana ya samaki wakiwamo Migebuka,kuhe,dagaa kigoma n.k.

Ukiachilia mbali dagaa wa kigoma kupendwa na kuwa ni dagaa wanaongoza kuwa na bei kubwa nchini.

Migebuka ni moja ya samaki watamu na wenye virutubisho vingi na wakubwa ila wana soko dogo na bei ya chini na wanaliwa sana na wakazi wa pembezoni mwa ziwa Tanganyika.

Pamoja na yote hayo migebuka ama samaki wanaopatikana katika ziwa Tanganyika wamekua hawana soko ama umaarufu hapa nchini ukilinganisha na samaki wanao patikana ziwa Nyanza(Victoria).

Wafugaji wengi wa samaki wamejikita katika ufugaji wa samaki wanao patikana ziwa Nyanza hususani Sato na sangara..na ndio samaki wenye soko kubwa sana ndani na nje ya nchi.

Swali langu kwenu wa dau.

Je kipi kinafanya samaki hawa kutoka ziwa Tanganyika kuwa na soko hafifu ndani na nje ya nchi?

Je hawa samaki wanaweza kufungwa nje ya mazingira yao kama ilivyo sato ama kambare?

Nini kifanyike kuongeza ulaji na soko la hawa samaki kutoka ziwa Tanganyika?

#MaendeleoHayanaChama

View attachment 2285338
Labda tumuulize Msechu maana yeye anawauza
 
Kwa maono yangu Kitu kuwa popular ni kutokana na kuliwa na jamii kubwa ya watu!!
Nadhan kwakua wanapatikana sehemu chache au hawajawa branded sana kwene market

Kifupi Brand ndo kila kitu!!…
Sangara ni international market inapendwa na walaji wengi wenye pesa hata nje hivo kupelekea competition!!…Automatic na umaarufu unaanzia hapo adimu na pendwa
 
Ila dagaa wa kigoma hapana, Wagumu sana, unawachemsha kama nyama lakini bado unatafuna mpaka taya zinauma.

Hao Kuhe kama hujazoea kuwala huwezi, wana ka harufu flani hivi kanakera sana.
Issue ni mapishi tu hapo, hao wanalowekwa na maji ya moto kwanza kabla ya kuwapika bin kurost.

Wanaiva vizuri tu na wako amazing.
 
Kuna taarifa nimewahi sikia kuwa migebuka ni samaki wanaoweza ishi kwenye maji ya ziwa Tanganyika pekee.

Hivyo huwezi wazalisha kwa kuwafuga kama ilivyo kambale, sato, sangara n.k kitu kinachopelekea uzalishaji wake kuwa mgumu.
Sambamba na hilo, uvuaji wa hawa samaki ni changamoto kubwa kutokana na kina kirefu cha ziwa Tanganyika.

Uvuvi wa dagaa toka ziwa Tanganyika sio mgumu kama ule wa samaki. Ukiwa pale Kigoma mjini ni rahisi kukuta masoko makubwa ya dagaa mfano pale Kibirizi, Katonga n.k lakini sio migebuka kwa vile dagaa ni rahisi uvuvi wake.
Kwa hoja hiyo kiasi kinachozalishwa ni kidogo kisichoweza sambazwa soko la Nchi nzima kitu kinachochagiza watu wengi kutojua ladha maridhawa ya migebuka na kudumaza soko la walaji.
Ninahisi hizo huenda ni baadhi ya sababu zinazopelekea migebuka kutokuwa samaki wenye uhitaji mkubwa sokoni hapa Tanzania.
Nadhani jibu linapatikana hapo (bold) maana migebuka walivyo watamu hasa kichwa useme kwamba hawana soko, labda huko walipokuwa hawanunuliwi kwa kuwa hawajui ladha yake na kwa ugumu wa maisha wanaogopa ku-bet kwa kutoa ela yao waliyoitafuta kwa ngama wakati kuna samaki waliemzoea (sangara na sato)

Kwanza hata bei tu, migebuka atakuwa juu kama akiuzwa nje ya Kigoma kutokana na kuwa bidhaa adimu lakini pia ile promotion ya asili kuhusu migebuka haipo ukilinganisha na sato na sangara ambao wana ile promo ya asili hata ukiongea tu na mtu kwamba upo Mwanza lazima atakuambia "naona unakula sato tu huko". Pia Mwanza inapokea wageni wengi na kutokana na sato na sangara kuwa maarufu inatokea automatically soko lake kuwa juu kwa kuwa ndio wanaojulikana zaidi kwa samaki wa maji baridi.

Nje ya mada, ni sawa na zamani watu walikariri Arusha kuna baridi kumbe kuna mikoa ina baridi kuliko Arusha ila kutokana na hali ya kipindi kile Arusha ilikuwa inapokea watu wengi kutoka sehemu mbalimbali ya nji tutajikuta tunapata simulizi za baridi la Arusha kuliko sehemu zingine (na mfano huu na ulinganisha na umaarufu wa sato/sangara wa Mwanza vs mgebuka wa Kigoma)
 
hapa umejibu kila kitu
 
Back
Top Bottom