Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,591
- 31,128
Sio kweli, samaki ana bei kuliko nyama sehemu yoyote IleTanzania nyama ni bei rahisi sana ila samaki ni aghali mno.
Ulaya nyama ya ng'ombe ni ishu mzee!
Sio kweli, samaki ana bei kuliko nyama sehemu yoyote IleTanzania nyama ni bei rahisi sana ila samaki ni aghali mno.
Ulaya nyama ya ng'ombe ni ishu mzee!
Ushanunua samaki wa 10k waliokaangwa ukalinganiaha na nyama ya 10k iliyopikwa (sio mbichi)Sio kweli, samaki ana bei kuliko nyama sehemu yoyote Ile