Kwanini "michepuko" ihalalishwe kwa wanaume?

Kweli kabisa, tunajifunza tu kuridhika, but haimaanishi kuwa we don't want more and more

Ni kweli kabisa, hata wao ni tamaa tu ndio zinawasukuma kuandika haya maandiko ya hivi.
Turidhike tu na tulivyonavyo maana we cant have it all.
 
Tuseme ni kweli. Ila tamaa zinakuwa developed kutokana na mazingira, utashi, malezi/makuzi, n.k. Na walisema wahenga, tamaa isizidi uwezo.

Tamaa ziko ndani ya uwezo wa binadamu yeyote mwenye akili timamu. Unatamani unachostahili, na kuweza kukipata. Haileti maana kuwa probox, halafu nitamani attention na treatment anayopata phantom.

Kama nina uwezo wa kukipata why not?
So usizuie upande mwingine, kama kuchepuka kunaruhusiwa basi turuhusiwe wote tu, after all tusiporuhusiwa mtachepuka na nani?
Kama inakuuma basi jua na mwenzio inamuuma hivyo hivyo.
 
Kama nina uwezo wa kukipata why not?
So usizuie upande mwingine, kama kuchepuka kunaruhusiwa basi turuhusiwe wote tu, after all tusiporuhusiwa mtachepuka na nani?
Kama inakuuma basi jua na mwenzio inamuuma hivyo hivyo.

Kwa hiyo una uwezo wa kumpata mwanaume wa ndoto zako, sio?

Na ukisema tutachepuka na nani, nadhani umesahau kuwa mpo wengi kutuzidi. So tutachepuka na wale watakaobaki bila wenza.
 
Back
Top Bottom