Kwanini "michepuko" ihalalishwe kwa wanaume?

Kila binadamu ameumbwa na tamaa.

Tuseme ni kweli. Ila tamaa zinakuwa developed kutokana na mazingira, utashi, malezi/makuzi, n.k. Na walisema wahenga, tamaa isizidi uwezo.

Tamaa ziko ndani ya uwezo wa binadamu yeyote mwenye akili timamu. Unatamani unachostahili, na kuweza kukipata. Haileti maana kuwa probox, halafu nitamani attention na treatment anayopata phantom.
 
Kama K zinatofautiana kama aina ya magari sawa...lakini kama bucha ni ileile nothing new...for WHAT?
Alafu jamaaa unataka maambukizi ya HIV yafikie wapi.......kwa mchakato wako nani atabaki kwenye sayari ya jua?
 
Back
Top Bottom