Mrimi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 1,691
- 640
Mende wanaweza kuishi kuwa katika microwave hata kama imewashwa kwa sababu siyo sehemu zote za microwave zinakuwa na joto. Badala yake, microwave hotoa miale ya joto eneo la takriban 7.5cm ambalo memde huliepuka na kukaa nje ya eneo hilo lakini ndani ya microwave...
Heat transfer ndani ya cabinet ya microwave haifuate zile njia 3,huh? Kwamba hakuna convection wala radiation, eh? Kwa hiyo joto linajirundika sehemu moja tu kama rundo la mchanga,huh! I don't think so.
Na kama exoskeleton ni resistant kwa microwave radiation, je kama kuna chakula ndani haliwezi kupata joto hadi kufika degrees za kumdhuru mende kwa ile physical contact with hot air ndani ya cabinet? I don't so.