huo ni ujinga na ukosefu wa akili na adabu overSasa ni dhahiri kwamba Rais Magufuli hana urafiki na Membe kwanza naweza hata kwenda mbali kuita maadui, sasa swali langu kwa nini Membe na watu wake hawampi Magufuli pigo moja litakalommaliza kisiasa?
Kwanini hawaaniki hata kwa siri tu ushahidi wa kupigwa risasi Tundu Lissu na Serikali yetu kama wanavyodai? Tatizo ni nini?
Nina uhakika hili litamdondosha Magufuli nje na ndani, Tundu Lissu atatembea kifua mbele kwa Mzungu na ushahidi, hapa nyumbani ukweli utajulikana na itakuwa game over. Sasa kwanini hawafanyi?