Kwanini Membe & Co. hawammalizi kisiasa Rais Magufuli?

kila jambo na majira yake...


Tundu Lisu hahitaji majira, anapata shida kujitetea huko kwa Muzungu, hivyo hakuna wakati ambapo angehitaji ushahidi wa kuhusika kwa Serikali yetu kama sasa, kwani angepeleka hata UN huo ushahidi kama angekuwa nao.
 
Tundu Lisu hahitaji majira, anapata shida kujitetea huko kwa Muzungu, hivyo hakuna wakati ambapo angehitaji ushahidi wa kuhusika kwa Serikali yetu kama sasa, kwani angepeleka hata UN huo ushahidi kama angekuwa nao.
Lissu hana shida yeyote.... wenye shida ni wale waliomnyima haki zake wakidhani angepata shida lakini sasa hivi hofu zimewajaa hawajui what's next!
 
Zile flush zilizookotwa kwenye ajali bagamoyo unazijua?

Suala la ushahidi usiongelee kabisa, muda tu ndiyo unasubiriwa
 
Lissu hana shida yeyote.... wenye shida ni wale waliomnyima haki zake wakidhani angepata shida lakini sasa hivi hofu zimewajaa hawajui what's next!


Ana shida kubwa sana tu, na ndo maana anazunguka huku na kule kushitaki kwa Muzungu kila siku lkn anakwama kwa maana hana ushahidi, hivyo kama ungekuwepo na angepewa ingemsaidia sana.
 
Sasa ni dhahiri kwamba Rais Magufuli hana urafiki na Membe kwanza naweza hata kwenda mbali kuita maadui, sasa swali langu kwa nini Membe na watu wake hawampi Magufuli pigo moja litakalommaliza kisiasa?

Kwanini hawaaniki hata kwa siri tu ushahidi wa kupigwa risasi Tundu Lissu na Serikali yetu kama wanavyodai? Tatizo ni nini?

Nina uhakika hili litamdondosha Magufuli nje na ndani, Tundu Lissu atatembea kifua mbele kwa Mzungu na ushahidi, hapa nyumbani ukweli utajulikana na itakuwa game over. Sasa kwanini hawafanyi?
1570603785623.png
 
Ana shida kubwa sana tu, na ndo maana anazunguka huku na kule kushitaki kwa Muzungu kila siku lkn anakwama kwa maana hana ushahidi, hivyo kama ungekuwepo na angepewa ingemsaidia sana.
mwacheni aendelee kupata shida basi, mbona sasa mnahangaika hadi kumfungulia threads huku JF?

tunaojua tunasema..... it's not a matter of "if" but "when" watu wataanza kuonja joto la jiwe.

don't go away!!
 
Hivi unafikiri watanzania wote ni wajinga, wa kuweza kuwadanganya utakavyo??

Ngoja nikuulize maswali machache, ambayo huwezi ukakosa kuinyoshea kidole serikali hii kuwa ndiyo "waliotenda" uovu ule

1. Ni kwanini walinzi wote waliondolewa getini siku ya kushsmbuliwa Tundu Lissu??

2. Ni kwanini CCTV camera, ambazo ndizo zilirekodi tukio lile la kushambuliwa kwa Tundu Lissu, zilinyofolewa kutoka kwenye nyumba ya Waziri wa Nishati na kupelekwa kusikojulikana??

3. Hivi kwa akili yako, kwa namna serikali hii ilivyo na nia ovu ya kuuangamiza upinzani nchini, hivi kama kweli viongozi wa Chadema, ndiyo wangekuwa wamehusika na unyama ule, ni kwanini viongozi hao bado wako uraiani hadi hivi Leo??

4. Ni kwanini Jeshi la Polisi halijamkamata mshukiwa yeyote, ili ahojiwe kwa tukio lile la jaribio la mauaji, lililofanyika mchana kweupe, tena kwenye nyumba za viongozi waandamizi wa serikali??

Kwa kutumia ushahidi wa "suspicious characters" unajua ni nani "main suspect" wa tukio zima lile

Hizo propaganda mnazozitoa wana-Lumumba, hata mtoto wa chekechea, hamuwezi muingiza "kingi"
 
Sasa ni dhahiri kwamba Rais Magufuli hana urafiki na Membe kwanza naweza hata kwenda mbali kuita maadui, sasa swali langu kwa nini Membe na watu wake hawampi Magufuli pigo moja litakalommaliza kisiasa?

Kwanini hawaaniki hata kwa siri tu ushahidi wa kupigwa risasi Tundu Lissu na Serikali yetu kama wanavyodai? Tatizo ni nini?

Nina uhakika hili litamdondosha Magufuli nje na ndani, Tundu Lissu atatembea kifua mbele kwa Mzungu na ushahidi, hapa nyumbani ukweli utajulikana na itakuwa game over. Sasa kwanini hawafanyi?

That's like kuuliza kwanini Chadema au ACT-Zalendo hawaimalizi CCM. Swali linapaswa kuwa kwanini Jiwe ameshindwa kummaliza Membe, maana aliye madarakani si Membe bali Jiwe.
 
Huyo mnayempamba kama 'shushushu mbobezi' hana nguvu hiyo mnayompa. Wengi mnaingia chaka kwa kukariri kua jpm ametoka from no where na kua rais! Rejea andiko la pascol mayalla mwaka 2014 mwaka mmoja kabla ya uchaguzi.

Jamaa aliandaliwa na yupo kimkakati, labda niwadokezee tu inawezekana akawepo mpaka 2035!! Muda utaongea.
 
That's like kuuliza kwanini Chadema au ACT-Zalendo hawaimalizi CCM. Swali linapaswa kuwa kwanini Jiwe ameshindwa kummaliza Membe, maana aliye madarakani si Membe bali Jiwe.


Labda umeelewa kichwa cha habari lkn haujaelewa maudhui, inawezekana no kosa langu kushindwa kuelezea vizuri nilichomaanisha, lkn siwezi kuelezea zaidi ya hapo!
 
Nafikiri point ya msingi ni kwamba Membe na kundi lake wafanye kadri ya uwezo wao, Mungu na watanzania wako nyuma yao kwa Sala na dua kumuondoa mtesi wa watanzania.
Najua una uchungu, lkn usihusishe Mungu ktk ujinga kama unataka kujua Mungu hayuko hivyo angalia dhambi ulizofanya lkn HAJAKUUA
 
SINA HAKIKA kama uko tayari kupata majibu yaliyo kinyume na mtazamo wako!!!
Kuna uwezekano umeuliza maswali huku ukiwa na MAJIBU yako tayari..Hivyo jibu lolote lililo kinyume na Majibu yako kichwani utaamini huyo ni CCM au Mtetezi wa Serikali

KAMA hauko hivyo basi tutafakari pamoja kama ifuatavyo:-

1. Naamini Walinzi walipopangwa Kazini siku hiyo haukujua.Haujawahi kufahamu ratiba zao zilikuwaje.Hebu nisaidie kujua RATIBA ZAO ZILIKUWA NA ROTATION YA MASAA MANGAPI KILA SIKU???

ULIJUAJE KUWA WALIONDOLEWA KAMA ULIKUWA HAUJUI KWAMBA WANAINGIA PALE KWA RATIBA IPI???.
Maana yangu ni KWAMBA usiwe KASUKU kumeza kila unacholishwa na sadist..Jisimamie ili kujua kwamba WANAOFAHAMU RATIBA HIYO NA UKWELI KAMA WALIONDOLEWA AMA LA NI POLISI AMBAO WANACHUNGUZA HILO..
SUBILI WAO WAKITHIBITISHA HIVYO NDIPO TUSEME KUWA WALIONDOLEWA..KINYUME CHAKE UNAENDESHWA NA HISIA AMBAZO HAUWEZI KUZITHIBITISHA!!!

2. Uthibitisho wako kuwa ZILIREKODI TUKIO UNAONYESHA KUWA ULIKUWA UNAZIFAHAMU HIZO CCTV CAMERA..UNAWEZA kutaja ni aina gani ya CCTV Camera??Zilikuwa na uwezo wa kurekodi Matukio kwa muda gani??
UNAJUA NI NANI ALIYEZICHOMOA???
Kama haufahamu hayo BASI USIRUKE MTO KABLA HAUJAUFIKIA!!!
HIVI SIKU UKIJUA KUWA ZILIONDOLEWA NA VYOMBO VYA DOLA KAMA EXHIBIT KUONYESHA NANI WAHUSIKA WAKATI WA UPELELEZI NA KUTOA USHAHIDI UTASEMAJE??
Kumbe WAHUSIKA Katika hili ni Wenye Majukumu ya UPELELEZI ambao ni Polisi.TUSUBILI MAJIBU YAO.
HISIA ZAKO ZINAKUKOROGA ZAIDI WALA HAZIKUSAIDII

3. KINYUME CHAKE ungejiuliza pia kuwa HIVI KAMA TUNDU LISU ANGEKUWA NA USHAHIDI KUTHIBITISHA KUWA SERIKALI INAHUSIKA ANGESHINDWA KUUTOA KWA WAZUNGU AMBAO NDIO WANAMLEA HADI SASA??? KAMA ANAKUWA NA UJASIRI WA KUJIBU KUHUSU NDEGE KWA KUONYESHA ANAOITA USHAHIDI ANASHINDWA NINI KUJIBU KWA USHAHIDI KUWA KWELI SERIKALI/MAGUFULI NDIYE ANAHUSIKA KWA USHAHIDI HUU NA HUU???
alishaulizwa Swali hili BBC..MAJIBU yake unayakumbuka jinsi alivyo ruka ruka..Akaishia eti kuunganisha Dots.
Maana yangu ni kwamba Kwa kuwa Polisi ambao ndio wapelelezi wa TUKIO hili hawajasema kuwa upelelezi Umefungwa Basi Hata Ukamataji haujakoma.JINAI HAIFI WALA HAINA UKOMO WA UKAMATAJI

4.UKAMATAJI hufanyika baada ya kujiridhisha uhusika wa MTU Katika tukio. Ukamataji usio na USHAHIDI..wenye kuendeshwa kwa HISIA au mihemuko Kesi hizo huishia Kuondolewa na Washitakiwa Kuachiwa.
BADO UPELELEZI UNAENDELEA.
BADO KEY WITNESSES HAWAJATOA USHIRIKIANO KATIKA KUFANIKISHA KUKAMILISHWA KWA UPELELEZI.

MBONA HAUJIULIZI KWA NINI MIAKA YOTE MIWILI DEREVA BADO ANATIBIWA SAIKOLOJIA YA AKILI NA HATAKI KUJA KUTOA MAELEZO YAKE AMBAYO KILA MTU ANAJUA NI MUHIMU KATIKA TUKIO HILI???
HOJA mfu sana eti je KAMA wangekufa wote kusingekuwepo na UPELELEZI ni ya Kipuuzi sana.. Sasa Hawakufa..Kwa hiyo wasihojiwe???
MAANA mkanganyiko wote huu chanzo ni wao KUTOKUTOA Ushirikiano wakati huohuo wakiwa wepesi kwenye VYOMBO vya habari. HII INAONYESHA KUNA MENGI WANAYOYAFAHAMU KATIKA HILI HIVYO BY HOOKS OR CROOKS LAZIMA WAHOJIWE WATEME YOTE WANAYOYAFAHAMU TUKIO ZIMA.

NOTE;- UPELELEZI KAMA BADO UNAENDELEA HUWA SIYO SAWA TAARIFA KUTOLEWA KWENYE VYOMBO VYA HABARI..MSEMO UNAOFAHAMIKA NI KWAMBA BADO UPELELEZI UNAENDELEA BASI.
KESI IKIWA KWA HAKIMU AU JAJI KAMA PP AKISEMA BADO UPELELEZI HAUJAKAMILIKA BASI HUWA HAWALAZIMISHI KUWA HEBU TUJUE MASHAHIDI MLIOKWISHA KUWAHOJI TUWAFAHAMU KWANZA!!! WAO PIA HUSUBILI HADI HAPO UPELELEZI UTAKAPOKAMILIKA.

Tusiendeshwe na HISIA zaidi Katika hili
Hapa ni JF where dare to talk openly!!!!

Hebu tusaidie uthibitisho usio na HISIA zilizoegemea KOKOTE kwamba Nani amehusika? ?? KAMA hautaishia kusema.....

Hebu tusaidie kujibu pia ilikuwaje Risasi zilipigwa Kulia Mguu ukaumia Kushoto??? Huku kukiwa hakuna madhara kwenye chombo chochote kilichokuwa ndani ya gari? ??
KAMA UKIHISI SERIKALI INAHUSIKA KWA NN WENGINE PIA WASIHOJI KUWA HILI NI TUKIO LA KUPANGWA FOR POLITICAL MILEAGE? ???

Mwisho wa yote ni TUWAACHIE WAHUSIKA AMBAO NI VYOMBO VYA DOLA NDIYO WASEME
TUTAKUWA TUNAJITENDEA HAKI ZAIDI KULIKO KUHUKUMU KWA HISIA

Kuandika kwa herufi kubwa ni sawa na kupiga kelele. Rejea hiyo namba nne yako, kama ukamataji unafanyika baada ya kujiridhisha na uhusika wa mtu, iweje akina Rugemalila wako ndani mpaka leo na ushahidi haujakamilika? Ni hivi jiwe ndio muhusika fullstop.
 
Inao mbona wamepasisha infos kwa Muzungu ndege yetu ikashikwa AK?

Ndege ni yako au ya magu, kuna mtu alikushirikisha kwenye manunuzi? Iwapo hela zilizonunulia ndege zingewewekwa mezani ungependekeza zinunulie ndege? Hizo ndege huwa unapanda bure, yeye kwakuwa ni zake anapanda bure na anaenda nazo huko kwao. Toka nje ya box ww boya.
 
Mkuu,huyu mleta hoja mbona hajiulizi kwa nini baada ya Zitto kwenda kumpa ukweli tundu kuhusu shambulio lake,tundu ameibadilikia chadema.
Time will tell

Panga sentesi upendavyo ila ukweli jiwe ndio muhusika, inyeshe mvua Liwake jua habari ndio hiyo.
 
Back
Top Bottom