Kwanini Mbunge asijitolee diwani akalipwa mshahara? Kama chakula kidogo anaachiwa mdogo

Unaelewa maana ya kutunga ??? Haya tuseme wizara inapeleka muswaada Bungeni , huko Bungeni wanaitungaje sheria ? ... Unajua Bill inakuaje ili iwe law ...

Acha kukariri madesa yako ya Nyambari Nyangwine Sheria hutungwa na Wizara ya sheria hayo unayoelezwa shuleni ni utopolo tu.
Unajaribu kurembaremba, lakini mihimili ni mitatu, Bunge kutunga sheria, Mahakama kutafsiri sheria na serikali kusimamia utekelezaji wa sheria. Sasa sijui ni wizara gani inayoingia bungeni kutunga sheria
 
Nabishana na kichaa
 
Unaelewa maana ya kutunga ??? Haya tuseme wizara inapeleka muswaada Bungeni , huko Bungeni wanaitungaje sheria ? ... Unajua Bill inakuaje ili iwe law ...

Acha kukariri madesa yako ya Nyambari Nyangwine Sheria hutungwa na Wizara ya sheria hayo unayoelezwa shuleni ni utopolo tu.
1594824602692.png
 
Back
Top Bottom