youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
TFF ni zaidi ya uijuavyo mkuu....kama kawaida yao......wao waliwataka simba ndo washiriki wakti simba hawana sifa walipoona Yanga kawatishia kua simba akishiriki wao watajitoa wameona waaziache timu mbili tu ndo zishiriki....wanashangaza sana hawa watu nchi mwandaaji hutoa timu tatu lakini wao kwa tamaa ya pesa wakaona MCC FC hawawezi kuwapatia mapato wameona ni heri wakawatosa....
Yanga nao si wangekubali Simba tucheze,waaache uoga bhana mpira hauko hivyo
Tanzania zinashiriki timu 3,yanga,azam na kmkmTFF ni zaidi ya uijuavyo mkuu....kama kawaida yao......wao waliwataka simba ndo washiriki wakti simba hawana sifa walipoona Yanga kawatishia kua simba akishiriki wao watajitoa wameona waaziache timu mbili tu ndo zishiriki....wanashangaza sana hawa watu nchi mwandaaji hutoa timu tatu lakini wao kwa tamaa ya pesa wakaona MCC FC hawawezi kuwapatia mapato wameona ni heri wakawatosa....
Yanga nao si wangekubali Simba tucheze,waaache uoga bhana mpira hauko hivyo
Hawana uwezo kule sio kulima mpunga wala viazi ule no mpira
Tanzania zinashiriki timu 3,yanga,azam na kmkm
Hivi Tanzania tunacheza soka au mpira? Naombw nianzie hapo kwanza
Ni kwasababu Jamal Malinzi na wenzake wa TFF ni wapiga pesa tu,wapo TFF siyo kwa ajili ya kuendeleza soka bali kunyonya pesa za TFF.Kwanini wameitoa Mbeya city na naasi yao wakapewa Simba na CECAFA wakakubali,ndiyo maana hata hayo mashindano yanapoteza mvuto kila mwaka.Jamali Malinzi na genge lako ni bora na nyie mngejiondoa tu hapo TFF
Nafasi hajapewa simba nafasi kapewa kmkm kuleta uwiano wa bara na visiwani ile ya nafasi kupewa simba ilikuwa tetesi tu by the way ratiba ishatoka na wala hao simba hawamo mashindano yanaanza tar 18/07,yalikuwa yaanze tar 12/07 yamepelekwa mbele cos wachezaj wa timu nyingine wamo kwenye timu ya taifa zao ktk mashindano ya chanNi kwasababu Jamal Malinzi na wenzake wa TFF ni wapiga pesa tu,wapo TFF siyo kwa ajili ya kuendeleza soka bali kunyonya pesa za TFF.Kwanini wameitoa Mbeya city na naasi yao wakapewa Simba na CECAFA wakakubali,ndiyo maana hata hayo mashindano yanapoteza mvuto kila mwaka.Jamali Malinzi na genge lako ni bora na nyie mngejiondoa tu hapo TFF
Hawana uwezo kule sio kulima mpunga wala viazi ule no mpira