Kwanini Mbeya City hashiriki Kombe la Kagame?

youngsharo

JF-Expert Member
Jan 8, 2015
2,481
1,195
Jamani mi sijafatilia michezo for not more than 1 week now but leo nilibahatika kudaka habari za michezo japo kwa juu juu nikasikia kwamba Yanga na Azam ndo wanashiriki.

Je ni nafasi ndo zimetolewa chache kwa nchi mwenyeji au iko vipi?
 
Gwankaja Gwakilingo

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
1,988
2,000
TFF ni zaidi ya uijuavyo mkuu....kama kawaida yao......wao waliwataka simba ndo washiriki wakti simba hawana sifa walipoona Yanga kawatishia kua simba akishiriki wao watajitoa wameona waaziache timu mbili tu ndo zishiriki.

Wanashangaza sana hawa watu nchi mwandaaji hutoa timu tatu lakini wao kwa tamaa ya pesa wakaona MCC FC hawawezi kuwapatia mapato wameona ni heri wakawatosa....
 
youngsharo

JF-Expert Member
Jan 8, 2015
2,481
1,195
TFF ni zaidi ya uijuavyo mkuu....kama kawaida yao......wao waliwataka simba ndo washiriki wakti simba hawana sifa walipoona Yanga kawatishia kua simba akishiriki wao watajitoa wameona waaziache timu mbili tu ndo zishiriki....wanashangaza sana hawa watu nchi mwandaaji hutoa timu tatu lakini wao kwa tamaa ya pesa wakaona MCC FC hawawezi kuwapatia mapato wameona ni heri wakawatosa....

dah! mi naumia sana wapi soka la Tz linaenda.
 
Gamaha

JF-Expert Member
Jul 17, 2008
3,292
2,000
Yanga nao si wangekubali Simba tucheze,waaache uoga bhana mpira hauko hivyo
 
mwacheni77

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
763
225
TFF ni zaidi ya uijuavyo mkuu....kama kawaida yao......wao waliwataka simba ndo washiriki wakti simba hawana sifa walipoona Yanga kawatishia kua simba akishiriki wao watajitoa wameona waaziache timu mbili tu ndo zishiriki....wanashangaza sana hawa watu nchi mwandaaji hutoa timu tatu lakini wao kwa tamaa ya pesa wakaona MCC FC hawawezi kuwapatia mapato wameona ni heri wakawatosa....
Tanzania zinashiriki timu 3,yanga,azam na kmkm
 
youngsharo

JF-Expert Member
Jan 8, 2015
2,481
1,195
Yanga nao si wangekubali Simba tucheze,waaache uoga bhana mpira hauko hivyo

sio Yanga wangekubali, kwan yanga ndo Tff? Simba hana vigezo vya kumfanya aingie, vinginevyo ndo hivyo kwamba MCC ndo walitakiwa washiriki.
 
Nakapanya

JF-Expert Member
May 22, 2012
2,098
2,000
Ni kwasababu Jamal Malinzi na wenzake wa TFF ni wapiga pesa tu,wapo TFF siyo kwa ajili ya kuendeleza soka bali kunyonya pesa za TFF.Kwanini wameitoa Mbeya city na naasi yao wakapewa Simba na CECAFA wakakubali,ndiyo maana hata hayo mashindano yanapoteza mvuto kila mwaka.Jamali Malinzi na genge lako ni bora na nyie mngejiondoa tu hapo TFF
 
ahsantee
 
Nafasi hajapewa simba nafasi kapewa kmkm kuleta uwiano wa bara na visiwani ile ya nafasi kupewa simba ilikuwa tetesi tu by the way ratiba ishatoka na wala hao simba hawamo mashindano yanaanza tar 18/07,yalikuwa yaanze tar 12/07 yamepelekwa mbele cos wachezaj wa timu nyingine wamo kwenye timu ya taifa zao ktk mashindano ya chan
 
Magna Carta

JF-Expert Member
Jul 14, 2014
4,092
2,000
Watu wanazidisha ujuha tu,michuano ya ni ya cecafa sasa sielewi lawama kwa tff zinakujaje! TFF fanyeni kazi yenu msitishike na unazi njaa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom