Kwanini Mbeya City hashiriki Kombe la Kagame?

Nafasi hajapewa simba nafasi kapewa kmkm kuleta uwiano wa bara na visiwani ile ya nafasi kupewa simba ilikuwa tetesi tu by the way ratiba ishatoka na wala hao simba hawamo mashindano yanaanza tar 18/07,yalikuwa yaanze tar 12/07 yamepelekwa mbele cos wachezaj wa timu nyingine wamo kwenye timu ya taifa zao ktk mashindano ya chan

hapo kupewa KMKM mi sina neno tena.
 
Nadhani kwa hoja yako CAF wangezitoa kushiriki mashindano taifa stars, simba pamoja na yanga maana hazina uwezo hata nafasi ya tatu au ya nne hazifiki
 
Sio kagame cup sema Bonanza cup...
Ni michuano ambayo kimsingi mpaka leo haijaleta mafanikio yoyote iwe kwenye vilabu wala t/ za Taifa.. Ukiangalia kila mwaka hawafanyii kazi zile changamoto zaidi kutengeneza mazingira ya kupiga fedha..... Kifupi tutasubili sana ukanda huu
 
Tanzania zinashiriki timu 3,yanga,azam na kmkm

ok for this point nakubali, kwamba visiwani nako inatoka moja ni sahihi.

Usidanganyike Mkuu, TFF wamefanya madudu!

Tanzania Bara ni mwanachama wa CECAFA, kwa kuwa ni mwenyeji zilitakiwa timu 3 zishiriki viz. Azam, Yanga na MCC.
Zanzibar ni mwanachama wa CECAFA hivyo KMKM inaiwakilisha Zanzibar kama vile Kenya inavyowakilishwa na Gor Mahia etc.
Jamal Malinzi tueleze kwa nini timu 2 tu zinashiriki badala ya 3?
 
Nafasi hajapewa simba nafasi kapewa kmkm kuleta uwiano wa bara na visiwani ile ya nafasi kupewa simba ilikuwa tetesi tu by the way ratiba ishatoka na wala hao simba hawamo mashindano yanaanza tar 18/07,yalikuwa yaanze tar 12/07 yamepelekwa mbele cos wachezaj wa timu nyingine wamo kwenye timu ya taifa zao ktk mashindano ya chan

Acha kupotosha....

Zanzibar ni mwanachama wa CAF na CECAFA...Zanzibar miaka yote wanaenda kushiriki CECAFA na CAF(ngazi ya klabu) kama wanachama huru...Hawaendi kwa jina la Tanzania...

Hivyo kusema nafasi wamepewa KMKM ni upotoshaji..

Tatizo la TFF na CECAFA ni kuangalia maslahi zaidi kuliko maendeleo ya mpira...

CECAFA walitaka kuwaruhusu Simba ili wapige hela za mapato ya viingilio...
 
ok thank u kwa kunielewesha.
 
Jamal Malinzi where u are? tunaomba ufafanuzi juu ya hili.
 
Last edited by a moderator:
back kwenye kichwa cha habari mbeya city ni team mbovuuuu ndo sababu haipo...ila mwaka huu aijui wametumia vigezo vip kuchagua team aisee...maana naona ata mnyama hayupo.
 
Mbeya City is better than Simba sasa sielewi ni kwanini unaulizia kutoshiriki kwa Simba, Coz kama Mbeya City ni mbovu basi Simba ni mbovu zaidi.
 
Nafasi hajapewa simba nafasi kapewa kmkm kuleta uwiano wa bara na visiwani ile ya nafasi kupewa simba ilikuwa tetesi tu by the way ratiba ishatoka na wala hao simba hawamo mashindano yanaanza tar 18/07,yalikuwa yaanze tar 12/07 yamepelekwa mbele cos wachezaj wa timu nyingine wamo kwenye timu ya taifa zao ktk mashindano ya chan
KMKM hajaingia kwa hisani ya CECAFA walk TFF, ameingia kwa kuwa ni bingwa wa Zanzibar ambayo ni mwanachama mwanzilishi wa CECAFA. Ndio maana Zanzibar huwa mara kadhaa inaandaa mashindano ya CECAFA kama haya ya Klabu Bingwa, Challenge (tangu enzi za Gossage) n.k.
 
Usidanganyike Mkuu, TFF wamefanya madudu!

Tanzania Bara ni mwanachama wa CECAFA, kwa kuwa ni mwenyeji zilitakiwa timu 3 zishiriki viz. Azam, Yanga na MCC.
Zanzibar ni mwanachama wa CECAFA hivyo KMKM inaiwakilisha Zanzibar kama vile Kenya inavyowakilishwa na Gor Mahia etc.
Jamal Malinzi tueleze kwa nini timu 2 tu zinashiriki badala ya 3?
ishu kama hii uongozi wa MCC ulitakiwa ugangamale. sema utakkuta viongozi wamezimwa wasiifuatilie.
 
Back
Top Bottom