Kwanini masters za Mzumbe zimekuwa hivi?

You are very right bro. Yaan mm huwa nashangaa sana watu wanapoleta mambo ya oh chuo chetu ndio kizuri zaidi.hivi hawa watu wanajua kweli kinachoendelea kwenye soko la ajira? Jamani siku hizi wanahitaji watu wanaojua vitu na sio chuo.
Km ingekuwa ni ubora wa chuo ndio unaangaliwa then maofisini wangejaa watu wa udsm coz ndio chuo kilichotangazwa kuwa ni bora east africa lakini leo ofisi nyingi nyeti hazijashikiliwa wa watu wa udsm.

ni kweli maana 'akili za darasana ni tofaut na akili za mtaani,uzuri mtaan hakuna GPA'
 
Hata Nape ana masters ya Mzumbe bila kusahau Nchimbi ana PhD ya Mzumbe nae wamezipata bila kubundi.
 
hivi we una matatizo gani? kwaio masters ya mzumbe haifai kwa sababu udsm ni cha nne Africa?ebu niambie udsm kuna nini kipya wanachopata kwenye course zao wengine hawajifunzi mbona umeshindwa kuniambia......na mzumbe. kushindwa kuingia kwenye top 20 wahitimu wake wamekosa ajira au udsm kukamata namba 4 wahitimu wake wanachukua ajira kiulaini au ? tumia akili toka kwenye huo mtazamo finyu...dunia ya sasa sio ya kucomplicate elimu...mpe mtu knowledge akaitumie mbele kwa mbele...

Kijana nadhani bado unashindwa kuelewa msingi wa hii thread. Vyuo viwili tofauti vinaweza kuwa vinafundisha course moja lakini ubora ukawa tofauti kutokana na sababu lukuki km vipe waalimu waliobobea na miundombinu kwa ujumla. Ndiomana hata sekondary wanasoma masomo yale yale lakini ubora wa shule utofautiana. The fact that nimesoma chuo x na nikapata kazi nzuri is not a sufficient condition that chuo nilichosoma ni kizuri.
Ubora wa chuo ni kitu kingine ndugu.kuna watu hawajawah kuhudhuria class and they still have masters degree.
Aliyetoa hii maada anataka kujua kwann masters za chuo x zina walakini na ndiomana nikatoa sababu mojawapo ni research
 
Hata Nape ana masters ya Mzumbe bila kusahau Nchimbi ana PhD ya Mzumbe nae wamezipata bila kubundi.

Kikubwa si knowledge...kwani ukibundi ndio sifa ya kuwa msomi mzuri ! wangapi wamebundi na maisha yanawachapa mbaya wengine ata walidisco
 
nina mpango wa kuongeza elimu ya juu,lkn katika kudodosa kwangu nimekutana na watu wakitia shaka masterz za Mzumbe,lkn hawakufunguka zaid..kunan pale wadau?

Masters za mzumbe espscially tawi la dar es salaam walikua wanziita voda fasta kwani huwezi kuikosa cjui labda iwe imechange
 
Bila shaka na LUKUVI ni mwanafunzi wa hapo au yupo mbioni kujiunga. Ni wewe tu na pesa yako hapo unakabidhiwa cheti chako fasta.
 
Kijana nadhani bado unashindwa kuelewa msingi wa hii thread. Vyuo viwili tofauti vinaweza kuwa vinafundisha course moja lakini ubora ukawa tofauti kutokana na sababu lukuki km vipe waalimu waliobobea na miundombinu kwa ujumla. Ndiomana hata sekondary wanasoma masomo yale yale lakini ubora wa shule utofautiana. The fact that nimesoma chuo x na nikapata kazi nzuri is not a sufficient condition that chuo nilichosoma ni kizuri.
Ubora wa chuo ni kitu kingine ndugu.kuna watu hawajawah kuhudhuria class and they still have masters degree.
Aliyetoa hii maada anataka kujua kwann masters za chuo x zina walakini na ndiomana nikatoa sababu mojawapo ni research

umeshindwa kujibu hoja unatafuta pa kuchomokea....niambie ubora wa udsm upo kwenye nini na udhaifu wa mzumbe upo kwenye nini?? nijengee hoja za kisomi sio maneno ya uswahilini eti hiki maharage ya mbeya hiki kikongwe
 
Watu kama wewe mnaweza hata kusema kuwa Harvard University ni sawa tu na x university
 
umeshindwa kujibu hoja unatafuta pa kuchomokea....niambie ubora wa udsm upo kwenye nini na udhaifu wa mzumbe upo kwenye nini?? nijengee hoja za kisomi sio maneno ya uswahilini eti hiki maharage ya mbeya hiki kikongwe

Acha uvivi mtanzania ww, ingia mtandaoni search for criterion used to rank universities ndio utajua why university of dar es salaam is the fourth in africa while mzumbe can not be found even in top 20
 
Wewe una stress...ulitegemea udsm itakubadilishia maisha ila umekuta life ndio inakupiga zaidi....alafu unaowaita voda fasta wanakula maisha tu na voda fasta zao
 
Masters za mzumbe espscially tawi la dar es salaam walikua wanziita voda fasta kwani huwezi kuikosa cjui labda iwe imechange

kama mtu kapewa knowledge na imekaa kichwani,kwa nini hasigraduate ? kukamata watu bila msingi ndio elimu duh
 
Mkuu mastaz ya mzumbe achana nayo,kama unataka cheti kasome ila kama unataka taaluma na uelewa achana napo.

bora hiyo ya Mzumbe, mbona wengi tu wana masters za online, tena za uncredited universities? Tanzania hii elimu ni uwezo wa mtu na sio anatoka chuo gani. Kwa kuwa TCU wanakikubali chuo kuwa na vigezo mimi ngoja niendelee kukushangaeni!!
 
Back
Top Bottom