Kwanini masters za Mzumbe zimekuwa hivi?

Kwanini masters za Mzumbe zimekuwa hivi?

The ranking, also known as Ranking Web of World
Universities, aims at providing reliable, multi-
dimensional, updated and useful information about
the performance of universities from all over the
world based on their web presence and impact.
 
kamuulize prof kuzilwa na waajiri kama TIA.CRDB.BOT .pia wewe una masters au diploma

huna maana kusoma siyo mpaka utoil kama ulivyokariri
hapo UD. Ndiyo maana school of law inasimamiwa na UDsm watu hawafaulu kwa roho mbaya za wahadhili wa UDsm. badilika
 
mmmm ok.mi sishabikii chuo chochote hapa.bali natetea hoja zenye ukweli
 
nape ni kilaza?. kwahyo yule mzee wa vijisenti aliesoma havard ndio genius?
 
You are very right bro. Yaan mm huwa nashangaa sana watu wanapoleta mambo ya oh chuo chetu ndio kizuri zaidi.hivi hawa watu wanajua kweli kinachoendelea kwenye soko la ajira? Jamani siku hizi wanahitaji watu wanaojua vitu na sio chuo.
Km ingekuwa ni ubora wa chuo ndio unaangaliwa then maofisini wangejaa watu wa udsm coz ndio chuo kilichotangazwa kuwa ni bora east africa lakini leo ofisi nyingi nyeti hazijashikiliwa wa watu wa udsm.

Kwani yeye kasema anataka vyeti au anataka elimu? Jamani hivi busara itumike tu katika kumjibu huyu ndugu. Mambo ya kughushi yanagharimu sana watu. Hasa katika utendaji.
 
hata bachelor hawajamaliza wanahongea maneno ya mtahani

C ndio hapo, eti mtu anacomment maharage ya mbeya tena kwa msisitizo ukimuuliza ulishasoma atajibu nasikia sikia mtaani kha, mpeleke sasa...first semister tu disco
 
I did my sc at mzumbe and my msc at mzumbe in collaboration with Bradford university so nakijua nachokisema.km kazi nzuri ninayo pia bt hapa hatuzungumzii swala la kazi nzuri coz wapo watu hata chuo hawajasoma na wapo kwenye vitengo vizuri. Tunachozungumzia hapa ni ubora wa elimu.

Wewe hujasoma masterz mzumbe wala....am positive
 
Mtoto uyo..tena course anayosema kaisoma haitolewi na mzumbe pekee...ni course inayoandaliwa na kuwa offered na Bladford University cha UK...so it means ata bladford ni chuo kisicho na viwango mbele ya udsm....ana stress uyo mshikaji

Hajasoma huyo anajenga hoja tu
 
Hahaha ungeniambia mfano mhasibu wa udsm na mhasibu wa mzumbe wanatofauti gani kwa knowledge ndio nachotaka...ila kama umeshindwa kuyajibu ayo maswali...basi niambie tunaweza kujivunia nini kutoka udsm?

Inferiority complex zitakuua, mbona economista amekuelewesha lakini bado huelewi tu, ye anakwambia kuhusu PROCESS wewe umebase na SUBSTANCE, amekueleza kwa uzuri kabisa Process ya UDSM ipo vizuri kuliko Mzumbe, na hiyo ni fact, hajaongelea Kuhusu kufanikiwa kimaisha, kupata kazi ofisini, kwa sababu kama mafanikio hata Maji Marefu amefanikiwa na ameishia la saba, uwe unaelewa mapema mkuu, hisia hazifai
 
Last edited by a moderator:
Inferiority complex zitakuua, mbona economista amekuelewesha lakini bado huelewi tu, ye anakwambia kuhusu PROCESS wewe umebase na SUBSTANCE, amekueleza kwa uzuri kabisa Process ya UDSM ipo vizuri kuliko Mzumbe, na hiyo ni fact, hajaongelea Kuhusu kufanikiwa kimaisha, kupata kazi ofisini, kwa sababu kama mafanikio hata Maji Marefu amefanikiwa na ameishia la saba, uwe unaelewa mapema mkuu, hisia hazifai
aliye inferior ni nani sasa hapa? nyinyi au mimi?...process ipi ya udsm iko vizuri ebu kuwa specific?...mie nimewaambia mnionyeshe ubora wa udsm upo kwenye nini nyinyi mmekomaa na ranks....mie niambieni graduate wa udsm anakuwa ana abcd ambazo wa mzumbe hawi nazo ebu kuweni more specific..uku mkifanya reference ya course walau moja
 
Last edited by a moderator:
huna maana kusoma siyo mpaka utoil kama ulivyokariri
hapo UD. Ndiyo maana school of law inasimamiwa na UDsm watu hawafaulu kwa roho mbaya za wahadhili wa UDsm. badilika

Udsm wana mbwembwe za kizamani sana za kina John Kisomo....hivi awa wanazungumzia udsm ipi? hii hii mwanafunzi anaesomea engineering anakalili handouts ili afanye mtihani wa kugraduate kuwa injinia? Alafu akitoka na gpa kubwa anarudi kufundisha wenzake...hivi awa wanadhani ndio wa kwanza kupita pale mlimani
 
Chuo gani hapa bongo kinatoa taaluma vyote vinatoa vyeti tu....tatizo wabongo mnapenda elimu ya kupewa kwa mbinde alafu hakuna jipya lolote....elimu ni ile knowledge tu,ukishapata iyo kwa nini usumbuke ndio uhonekane umesoma zaidi...wazungu hawacomplicate elimu yao ila wapo mbali kimaendeleo,,sisi sasa utafikiri uko ofisini tunaenda kuunda nuclear, kumbe kuandaa miktasari ya pesa za vikao na per diem bas

watanzania tunajadili vyuo, kujadili output ya watanzania waliosoma sounds like none of our business! watu tunajadili oh chuo kile cha kata, alichosoma mjomba ni bora, its wonderful. chuo kile ni feki sabab hakuna ku-disco, cha kwetu ni bora ndo maana disco za kumwaga! its more than boring.
 
Back
Top Bottom