mzumbe ni janga la kitaifa! I was thea, NLICHOKIONA SIKUTEGEMEA! Mpaka leo najuta kusoma pale....darasani wapo vizuri sana kwenye kufundisha, ila kwenye usimamizi wa thesis hakuna kitu!
Vigezo vinavyutumika kujiunga na masterz za mzumbe ni tatizo! Mimi nilimaliza UDSM na GPA 3.3 Political Science and Public Administration, nikataka kujiunga na MA pale, nakumbuka niliingia darasani mkuu wa idara akiwa Arusha kikazi, nikasoma kama week 3 hivi, jamaa aliporudi akaniambia nimpatie vyeti vyangu..Majibu aliyonijibu ndiyo yalinifanya nienda Mzumbe, "eti GPA yako ingekuwa mwanamke angesoma, ila Mwanaume lazima awe na GPA 3.5 ndio asome masters kwenye idara ya political science, otherwise niwe in-service "! Ndio nikakimbilia mzumbe, niliyoyakuta pale ni changanyikeni, waliokuwa na GPA YA 2.2, 2.0 N.K wapo class, na cheti walipata!
Wahadhiri ndio majanga, kuna mmoja anaitwa Dr. Barongo, anaharibu sifa ya chuo, akiwa darasani anatangaza kabisa kwenye dissertation yeye ndio mwamuzi wa kati! na wote waliopitia mikononi mwa huyo Dr. Barogo hakuna kitu! Nimemtaja kwa jina maana ndie aliyenifanya nikidharau chuo changu cha Mzumbe, na kudharau Masters yangi ya Mzumbe..