Kwanini masters za Mzumbe zimekuwa hivi?

Kwanini masters za Mzumbe zimekuwa hivi?

we acha hizo.eti kuna dr,hiyo dr umekutananar wapi.acha uongo.mzumbe imeanza kutoa masters karibuni tu
 
nina mpango wa kuongeza elimu ya juu,lkn katika kudodosa kwangu nimekutana na watu wakitia shaka masterz za Mzumbe,lkn hawakufunguka zaid..kunan pale wadau?

achana na mapimbi wasioijua game ya ajira kibongobongo....kapige masters yako uangalie unatokea wapi...hakuna ofisi utaenda maisha aya wakakupa ajira kisa umesoma udsm au ukanyimwa ajira kisa umesoma mzumbe......ingekuwa ivyo ofisi nyingi zisingejaa graduates wa mzumbe na wanakula maisha na familia zao...sasa we complicate life alafu uhone litavyokutenda
 
Masters ya mzumbe c nzur ndo mana wanafunz wanajnyonga kwa kudisco karib kwenye karam tatizo hujaulza ubaya upi huo ndo ubaya wa mzumbe
 
Mkuu mastaz ya mzumbe achana nayo,kama unataka cheti kasome ila kama unataka taaluma na uelewa achana napo.

Chuo gani hapa bongo kinatoa taaluma vyote vinatoa vyeti tu....tatizo wabongo mnapenda elimu ya kupewa kwa mbinde alafu hakuna jipya lolote....elimu ni ile knowledge tu,ukishapata iyo kwa nini usumbuke ndio uhonekane umesoma zaidi...wazungu hawacomplicate elimu yao ila wapo mbali kimaendeleo,,sisi sasa utafikiri uko ofisini tunaenda kuunda nuclear, kumbe kuandaa miktasari ya pesa za vikao na per diem bas
 
Kwa sasa udsm is leading. Masters za udsm ni lazima mtu afanye research ya maana sana bt hapo kwa hicho chuo chenu watu wanafanyiwa tu research mtaani humu

we dogo utaumia sana maisha aya ukiendekeza iyo kasumba.....zile zama za kuonesha umwamba darasani zishapita,,angalia utapata nini baada ya kugraduate..watu wanachotaka kuona una maisha mazuri baada ya chuo...we kaa unajiliwaza mzumbe wanafanyiwa research alafu utazidi kushangaa kwa nini ndio wanapata ajira nzuri kwa wingi na wamejaa kwenye maofisi...karibu kwenye ulimwengu halisi.
 
I did my sc at mzumbe and my msc at mzumbe in collaboration with Bradford university so nakijua nachokisema.km kazi nzuri ninayo pia bt hapa hatuzungumzii swala la kazi nzuri coz wapo watu hata chuo hawajasoma na wapo kwenye vitengo vizuri. Tunachozungumzia hapa ni ubora wa elimu.
 
sijakuuliza umesoma wapi,sababu kwangu mimi sio ishu kabisa..ndio maana uliponiita mwanafunzi wa mzumbe sikukubali wala kukataa...Hivi iyo elimu bora ya udsm unaipimaje? wanafundishwa vitu gani vipya? ebu niambie wewe uliosoma management ya mzumbe inatofauti gani na management ya udsm?kitu gani kipya udsm wanafundishwa mzumbe hawafundishwi?..principles gani mpya? theory gani ngeni?...hivi unajua kuna graduates wangapi udsm hawawezi ata kubuni miradi? na wana masters....piga shule ingia mtaani utafute kazi ya maana ufanye acha ushindani wa kisecondary
 
umesm masters mzmbe wew.au unataka kuijenga hoja tu

Mtoto uyo..tena course anayosema kaisoma haitolewi na mzumbe pekee...ni course inayoandaliwa na kuwa offered na Bladford University cha UK...so it means ata bladford ni chuo kisicho na viwango mbele ya udsm....ana stress uyo mshikaji
 
sijakuuliza umesoma wapi,sababu kwangu mimi sio ishu kabisa..ndio maana uliponiita mwanafunzi wa mzumbe sikukubali wala kukataa...Hivi iyo elimu bora ya udsm unaipimaje? wanafundishwa vitu gani vipya? ebu niambie wewe uliosoma management ya mzumbe inatofauti gani na management ya udsm?kitu gani kipya udsm wanafundishwa mzumbe hawafundishwi?..principles gani mpya? theory gani ngeni?...hivi unajua kuna graduates wangapi udsm hawawezi ata kubuni miradi? na wana masters....piga shule ingia mtaani utafute kazi ya maana ufanye acha ushindani wa kisecondary

Nafikir kijana hujielewi sasa. Hivi unafikiri walio kitangaza chuo kikuu cha dar es salaam kuwa ni chuo cha nne kwa ubora africa hawakukiona na hicho unachokitetea? Unafikiri kwanini hakipo hata kwenye top 20 barani africa.
Ah give me a break bwana
 
hivi we una matatizo gani? kwaio masters ya mzumbe haifai kwa sababu udsm ni cha nne Africa?ebu niambie udsm kuna nini kipya wanachopata kwenye course zao wengine hawajifunzi mbona umeshindwa kuniambia......na mzumbe. kushindwa kuingia kwenye top 20 wahitimu wake wamekosa ajira au udsm kukamata namba 4 wahitimu wake wanachukua ajira kiulaini au ? tumia akili toka kwenye huo mtazamo finyu...dunia ya sasa sio ya kucomplicate elimu...mpe mtu knowledge akaitumie mbele kwa mbele...
 
Back
Top Bottom