Tangu mwanadamu agundue kitu kinaitwa currency ndipo gap ya distribution ya wealth ikawa pana sana.
Ndio maana huwa nashangaa matapeli wanaojiita wakomonisti ambao wanadanganya watu kuwa style yao ya uongozi ni ya kutengeneza even distribution ya mali na mafanikio, ilimshinda nyerree, maana communism ni trap ya socialist party ku control na kujichukulia fedha bila ya kupingwa maana hakuna demokrasia ya kuulizwa na kuhojiwa, ndicho unachikiona leo bongo land.
Na as long as currency itasimama kama means ya commerce umasikini hautakaa kuisha.