Yanga itumie nafasi hii adimu kujipatia mashabiki wanaohama Simba baada ya kusikia Mo Dewji ndio mmiliki wa Simba

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,206
12,747
Kuna mashabiki wamevunjika moyo baada ya kusikia kuwa timu ilinunulia muda mrefu na Mo Dewji.

Ushauri wangu kwa Yanga watumie muda huu kusajili mashabiki waliochukizwa na ukweli uliofichwa kwa muda mrefu kuwa timu ni ya Mo Dewji.

Mashabiki ni wengi sana na hii ni fursa kwa Yanga SC kujipatia mashabiki wa kutosha.

Afisa Habari na Mawasiliano (Ali Kamwe)
Meneja Masoko wa Kimtandao (Privadinho)

Na viongozi wengine huu ni muda wenu sasa kuwakaribisha mashabiki kutoka upande wa pili.

GENTAMYCINE , OKW BOBAN SUNZU ,Kalpana .

Na wengine wengi mliokua mnatanua domo kuikejeli Yanga karibuni sana katika timu ya wananchi.
 
Ushauri wangu kwa Yanga sc: watumie muda huu kusajili mashabiki waliochukizwa na ukweli uliofichwa kwa muda mrefu kuwa timu ni ya Mo dewji.
Kwa akili yako finyu unadhani kuwa Uto haimilikiwi?

Huo usajili wa mashabiki utafanywa na mjinga tu kama wajinga wengine wanaoamini kwamba Uto inamilikiwa na wananchi 😂😂

Siku zote nyani huwa halionagi kundu lake 😂😂
 
Imenunuliwa lini?
 
Kuna mashabiki wamevunjika moyo baada ya kusikia kuwa timu ilinunulia muda mrefu na Mo Dewji.

Ushauri wangu kwa Yanga watumie muda huu kusajili mashabiki waliochukizwa na ukweli uliofichwa kwa muda mrefu kuwa timu ni ya Mo Dewji.

Mashabiki ni wengi sana na hii ni fursa kwa Yanga SC kujipatia mashabiki wa kutosha.

Afisa Habari na Mawasiliano (Ali Kamwe)
Meneja Masoko wa Kimtandao (Privadinho)

Na viongozi wengine huu ni muda wenu sasa kuwakaribisha mashabiki kutoka upande wa pili.

GENTAMYCINE , OKW BOBAN SUNZU ,Kalpana .

Na wengine wengi mliokua mnatanua domo kuikejeli Yanga karibuni sana katika timu ya wananchi.
GENTAMYCINE Simba ni mali ya nani?
 
Hivi nikiongea na Mo hawezi kuniuliza mashabiki wajinga wajinga na watoa matusi wa humu Jf wa simba?
 
Timu ya Simba imekaa kikolokolo tu. Timu imeuzwa na watu hawana taarifa jamaa anawachora tu na vikao vyenu vya wanachama mnavyotoana ngeu. Ponjoro katulia pembeni hana habari na Ng'ombe zake
 
Kwa akili yako finyu unadhani kuwa Uto haimilikiwi?

Huo usajili wa mashabiki utafanywa na mjinga tu kama wajinga wengine wanaoamini kwamba Uto inamilikiwa na wananchi 😂😂

Siku zote nyani huwa halionagi kundu lake 😂😂
Sasa mbona unajichekeshachekesha au umetoka kubeba mabox ya mo energy
 
Kwa akili yako finyu unadhani kuwa Uto haimilikiwi?

Huo usajili wa mashabiki utafanywa na mjinga tu kama wajinga wengine wanaoamini kwamba Uto inamilikiwa na wananchi 😂😂

Siku zote nyani huwa halionagi kundu lake 😂😂
Huna alili,Manara bado ni Simbana Huwezi hama Team hizi Mbili.
 
Mo yuko proud kabisa na entitled kusema kawanunua makolo kwa 51B, ndo maana michango ya uwanja alipiga na hawana cha kumwambia.
 
Mi nazan team zote zina wahusika na siamin kama shabik pekee anaweza toa pesa kumlipa mchezaji
 
Wewe unaleta ushabiki wa Kiafrika kwa Chelsea na Tottenham, au Barcelona na Madrid, lakini huko mtu anaweza kuhama timu. Lakini ushabiki wa Simba na Yanga ni kama damu, sio tu ushabiki wa maneno. Ni ngumu sana kubadilika, utaelewa vizuri siku Zungu akirudi nyumbani na maneno atakayoyasema. Siku hiyo, watu wa yanga mnaweza kujuta kwanini mlipomkaribisha.
 
Back
Top Bottom