Chuma Chakavu
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 1,523
- 653
Wadau tumeshuhudia hzo nchi mbili zikiunga mkono maandamano yanayolenga kuleta mabadiliko ktk mataifa mbalimbali hapa duniani lakini cha kushangaza kwa tanzania wamekaa kimya kabisa,yani hawatoi support yoyote kwa chadema,je ni kwamba wana ajenda ya siri na chama tawala kilichoko madarakan ili wao waendelee kufaidika na maliasili zetu au imekaaje hiyo?
hakuna maandamano yaliyofanywa hapa TZ na CHADEMA au yeyote yule yakawa makubwa kiasi cha kusisimua ulimwengu bali ni rasharasha za maandamano, yale yaliyofanyika na kuendelea kufanyika kwenye Arab World si ya kawaida bado hatujafikia huko ila mambo yakiendelea hivi ipo siku tutaushangaza ulimwengu!