Kwanini Marekani na uingereza hawaungi mkono maandamano ya CHADEMA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Marekani na uingereza hawaungi mkono maandamano ya CHADEMA?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Perry, Nov 9, 2011.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Wadau tumeshuhudia hzo nchi mbili zikiunga mkono maandamano yanayolenga kuleta mabadiliko ktk mataifa mbalimbali hapa duniani lakini cha kushangaza kwa tanzania wamekaa kimya kabisa,yani hawatoi support yoyote kwa chadema,je ni kwamba wana ajenda ya siri na chama tawala kilichoko madarakan ili wao waendelee kufaidika na maliasili zetu au imekaaje hiyo?
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  umeuliza swali na kujijibu.
   
 3. T

  Tanganyika2 Member

  #3
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mpaka juhudi zionekane.....Ongezeni jitihada.
   
 4. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Uingereza wanatoa hela kwa Chadema kupitia Chama cha Waziri Mkuu Cameron(mtetea ushoga) cha Conservative!
   
 5. k

  kiloni JF-Expert Member

  #5
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 575
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwa waunge mkono wakati wanapata wanachotaka kupitia mafisi mwitu wa magamba; madini, wanyama wetu, miradi/kandarasi hewa!!
   
 6. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #6
  Nov 9, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,848
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  Lakini unasahau kwamba mtoto wa malkia wa mashoga amepewa mwaliko na CCM, AMETEMBEZWA SEHEMU ZOTE MUHIMU ZA NCHI
   
 7. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #7
  Nov 9, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,848
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  wana JF msijisahau kuna mjadala wa katiba mpya, tuchangia kwenye sub-forum ya KATIBA MPYA tupate kuelimishana nini kinajiri Dodoma bungeni.Tutapigwa bao kwani JF ina impact sana kwa sasa kwa mambo muhimu ya nchi
   
 8. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #8
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,169
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Uhuru Wa Tanzania utaletwa na watanzania wenyewe wala si kutegemea Marekani au Uingereza
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Nov 9, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ahsante sn kwa ku2kumbusha.
   
 10. L

  Lua JF-Expert Member

  #10
  Nov 9, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  fanya jambo kwa faida yako na usifanye kwa ajili ya mtu mwingine akusifie. kwa maana hiyo kama hawaungi mkono maandamano ya cdm unataka waunge mkono ufisadi wa ccm?
   
 11. Somji Juma

  Somji Juma Verified User

  #11
  Nov 9, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,514
  Likes Received: 2,059
  Trophy Points: 280
  HAPANA..ni mpaka baba riz aache kutoa rasilimali zetu bure kwao.........
   
 12. Ikwanja

  Ikwanja JF-Expert Member

  #12
  Nov 9, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,988
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  kwa sababu wanajua kuwa CDM ikishika dola mambo ya ushoga ni huko huko, maana nchi itakuwa inajitegemea bila kupitisha bakuli. na vile vile wanafahamu kuwa tutawarudishia vyandarua vyao na huo utakuwa mwhich wa kutuibia uranium yetu
   
 13. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #13
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hivi Uingera na USA zinasupport ufisadi wa CCM?
   
 14. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #14
  Nov 9, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Na sehemu muhimu zaidi kwa mashoga amepelekwa pia...zanzibar.
   
 15. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #15
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,167
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Mbona unapenda kuongelea ushoga hata kwenye thread zisizohusu ushoga. We shoga nini? Nendeni nambari one a.k.a magamba utawapata mabasha huko. Usituletee ushoga wako hapa.
   
 16. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #16
  Nov 9, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  eeeehh baba..
   
 17. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #17
  Nov 9, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wamesikia kuna Uranium. Ni wajanja wanajua akishika Mwenye akili hawataweza kusogeza matumbo yao huku. Kwa hiyo tusiwategemee kuwaunga mkono wale walioamka tayari. Pamoja na yote either waunge mkono au Wasiunge mkono dalili ya mapambazuko yanaonyesha kucha hakutakawia.
   
 18. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #18
  Nov 9, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Hapo kwenye wino mzito ulikaribia kujijibu ila ulisahau maneno mawili muhimu 'POSITIVE CHANGES'.

  CHADEMA haiungwi mkono kwa sababu wataleta NEGATIVE CHANGES katika nchi yetu, kwa hiyo hawawezi kuiunga mkono kamwe. Kwa mfano Wamarekani na Waingereza hawaamini kuwa Elimu Tanzania Itolewe bure. Na hata Nyerere alipotangaza kutoa Elimu na matibabu bure, Waingereza walishangaa sana na wakamuuliza kweli utaweza kufanya hivyo kwa nchi masikini kama Tanzania.

  Na ni hawa hawa Waingereza na nchi nyingine za EU ndizo zilizoshinyikiza serikali ya mkapa kulipia elimu na kutoa kodi ya kichwa.
   
 19. m

  marembo JF-Expert Member

  #19
  Nov 9, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huyu Zawadi Ngoda tumeshasema wazi ni problem na mzigo katika hii site. Hana mchango wowote katika thread zaidi ya kuota na kuisema vibaya CDM na viongozi wake. Nadhani hata elimu imempita kando uelewa wa sera ya Elimu bure haelewi. Tukiangalia raslimali zinavyotapanywa na kuibiwa vipi kutumia brain ushindwe kutoa huduma mbalimbali bure. hyaya mabo utekelezaji wake hauhitaji wala elimu ya vyuo bali ni kujua malengo husika, vipaumbele, fedha inatoka wapi, inaibiwa vipi na kugawiwa ifanye kazi liyokusudiwa. Kwani ni lazima kuchangia kama huna cha kuchangia?
  Halafu nimuulize jambo moja hii nchi ni masikini kama anavyodai. NChi yenye raslimali nyingi namna hiyo anaiweka kwenye kundi la masikini? Hivi watz tumelogwa au? Kama dhahabu, almasi na madini lukuki umeibadilisha kwa chandarua na dawa ya mbu unatarajia kutatua kero za wananchi?
   
 20. s

  seniorita JF-Expert Member

  #20
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  They only come in when they are sure that revolution is real and that there will be power change for sure....meanwhile they are spectators kulinda maslahi yao...but whether they join in or not....tutashinda tu
   
Loading...