Kwanini Marekani haijifunzi na inatumia kikagosi chake Israel na kuigopa Iran bila kujifunza toka Afghanistan na Iraq?

Kwanini Marekani haijifunzi na inatumia kikagosi chake Israel na kuigopa Iran bila kujifunza toka Afghanistan na Iraq?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,959
Reaction score
13,425
Kwa wanaojua kilichotokea Afghanistan ambako magaidi wa kitaleban sasa wanatesa huku Irak ikigeuka taifa lililofeli, watakubaliana nami kuwa Marekani licha ya unafiki na woga, inaonekana kutokuwa na uwezo wa kujifunza.

Vita vya Afghanistan na Irak viliigharimu Marekani jumla ya dola trilioni 6.5 wakati wamarekani walio wengi kwa taabu?(Americans could owe $6.5 trillion for wars in Afghanistan and Iraq — and that's just the interest.

Hapa hutajaongelea aibu ya kichapo cha Vietnam na Somalia. Kwanini wamarekani ni mataahira na mazwazwa yasiyojifunza hadi kuiumiza dunia na watu wao bila sababu?
 
Uchokozi walianza Iran 🇮🇷 kwa kuirushia Israel 🇮🇱 makombora mwaka jana. Walionywa lakini wamekuwa na moyo wa kutaka vita.

Iran imekuwa ikizifadhili vikundi vyenye itikadi kali dhidi ya Israel. Hivi ni pamoja Hezboullah, Hamas, Houthis, na vingine vingi. Hawakuona hatari kwa kuwa kijiografia wako mbali na Israel. Wakasahau adui yao hawezi kuufyata kwa mtu yeyote. Na watafanya chochote ili kujilinda na kulipa kisasi.

Kuilaumu America kwa vita walivyojitafutia si sawa. Israel alianza kuvilemaza vikundi vya karibu sumbufu. Na sasa yuko dhidi ya bwana wao na mfadhili wao Iran.
 
Hili la Iran wala sio Marekani. Ni Netanyahu na bange zake! Serikali ya Netanyahu haina tofauti na wanazi wa Ujerumani, ni wauaji na wabaguzi wa rangi. Wanajioja wao ni watu 'spesho'.

BTW Marekani akiamua kumdunda yeyote hapa duniani anamdunda vizuri tu, tena anakufuata hapohapo kwako.
 
ALIOANDIKA HUU UPUUZI ANA ELIMU KWELI?LINI MAREKANI ALIPIGWA NA VIETNAM😁😁😁

Ile vita walikufa wa vietnam zaidi ya MILLION MBILI na wamarekani 60000!!!Hapo nani alipigwa😁

Iraq ilimalizwa mazima kabisa hadi leo haina lolote,Afghanistan ndo usiseme walipigwa kama ngoma US kakaa pale miaka 21 na jeshi lake hadi kaamua kutoka mwenyewe

Ndo mana huwa tunasema ile dini inawatia ujinga hawa jamaa bila kujijua
 
Kwa wanaojua kilichotokea Afghanistan ambako magaidi wa kitaleban sasa wanatesa huku Irak ikigeuka taifa lililofeli, watakubaliana nami kuwa Marekani licha ya unafiki na woga, inaonekana kutokuwa na uwezo wa kujifunza. Vita vya Afghanistan na Irak viliigharimu Marekani jumla ya dola trilioni 6.5 wakati wamarekani walio wengi kwa taabu?(Americans could owe $6.5 trillion for wars in Afghanistan and Iraq — and that's just the interest

Hapa hutajaongelea aibu ya kichapo cha Vietnam na Somalia. Kwanini wamarekani ni mataahira na mazwazwa yasiyojifunza hadi kuiumiza dunia na watu wao bila sababu?​

Kuogopq mtu kunahitaji middle man? Hiyo nikitu moya kuwahi kusuikia

Na vita ya vietnam na somalia ni tofauti lakin mwisho wake bado huufahamu. Kasome upya

Vita vya iran ni tofauti mnoo, key player ni israel mwenyewe
 
Ndiyo maana wakenya wanatudharau Kwajinsi vijana wa Tanzania walivyokuwa vilaza...... pengine mtoa mada kwao anaitwa msomi
 
Mtoa mada ukipewa VISA yakwenda bure kuishi Iran unaweza kwenda?

Usije ukawa unashabikia Iran lakini huwajui hao Iran kiundani. Kama huwezi tuache Iran apewe kichapo ili awe mstaarabu aache kuishi kizamani.

Watu hata ukiwaangalia sura zao tu zinatisha. Binadamu wakawaida hawezi kusafiri na kwenda kuishi Iran.

Na sio Iran tu nchi nyingi za Mashariki ya kati. Nchi yeyote inayo kaliwa na waarabu ni nchi inayo ogopeka duniani, huwezi panga safari na kwenda kujikalia huko kama unavyoweza kwenda Wingereza au Canada.

Leo hii ndugu yako akipata kazi Ujerumani familia nzima mnafurahi ameshotoka kimaisha. Lakini ndugu akipata kazi Iran jambo la kwanza linalokujia kichwani harakaharaka ni wasiwasi kwamba ndugu yetu hatarudi salama.
 
Kwa wanaojua kilichotokea Afghanistan ambako magaidi wa kitaleban sasa wanatesa huku Irak ikigeuka taifa lililofeli, watakubaliana nami kuwa Marekani licha ya unafiki na woga, inaonekana kutokuwa na uwezo wa kujifunza. Vita vya Afghanistan na Irak viliigharimu Marekani jumla ya dola trilioni 6.5 wakati wamarekani walio wengi kwa taabu?(Americans could owe $6.5 trillion for wars in Afghanistan and Iraq — and that's just the interest

Hapa hutajaongelea aibu ya kichapo cha Vietnam na Somalia. Kwanini wamarekani ni mataahira na mazwazwa yasiyojifunza hadi kuiumiza dunia na watu wao bila sababu?​

BADO HAMJASEMA. MAANA MNAANZA KUTOKWA POVU KILA SEHEMU ZA WAZI MIILINI MWENU.

BADO SANA.
Screenshot_2025-06-15-22-30-49-656_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-15-22-38-57-583_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-15-22-39-02-798_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-15-22-39-55-247_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-15-22-39-43-487_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-15-22-40-05-212_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-15-22-40-13-872_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-15-22-41-19-198_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-15-22-44-44-490_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-15-22-47-42-091_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-15-22-44-49-120_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-15-22-23-19-519_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-15-22-09-06-137_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-15-22-10-11-635_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-15-18-31-43-802_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-15-18-25-07-998_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-14-23-31-00-984_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-14-23-31-24-222_com.instagram.android.jpg
 
Kama mpaka Sasa unajua Iran ni waarabu safari yako bado ndefu Sana
Mtoa mada ukipewa VISA yakwenda bure kuishi Iran unaweza kwenda?

Usije ukawa unashabikia Iran lakini huwajui hao Iran kiundani. Kama huwezi tuache Iran apewe kichapo ili awe mstaarabu aache kuishi kizamani.

Watu hata ukiwaangalia sura zao tu zinatisha. Binadamu wakawaida hawezi kusafiri na kwenda kuishi Iran.

Na sio Iran tu nchi nyingi za Mashariki ya kati. Nchi yeyote inayo kaliwa na waarabu ni nchi inayo ogopeka duniani, huwezi panga safari na kwenda kujikalia huko kama unavyoweza kwenda Wingereza au Canada.

Leo hii ndugu yako akipata kazi Ujerumani familia nzima mnafurahi ameshotoka kimaisha. Lakini ndugu akipata kazi Iran jambo la kwanza linalokujia kichwani harakaharaka ni wasiwasi kwamba ndugu yetu hatarudi salama.a
 
Mtoa mada ukipewa VISA yakwenda bure kuishi Iran unaweza kwenda?

Usije ukawa unashabikia Iran lakini huwajui hao Iran kiundani. Kama huwezi tuache Iran apewe kichapo ili awe mstaarabu aache kuishi kizamani.

Watu hata ukiwaangalia sura zao tu zinatisha. Binadamu wakawaida hawezi kusafiri na kwenda kuishi Iran.

Na sio Iran tu nchi nyingi za Mashariki ya kati. Nchi yeyote inayo kaliwa na waarabu ni nchi inayo ogopeka duniani, huwezi panga safari na kwenda kujikalia huko kama unavyoweza kwenda Wingereza au Canada.

Leo hii ndugu yako akipata kazi Ujerumani familia nzima mnafurahi ameshotoka kimaisha. Lakini ndugu akipata kazi Iran jambo la kwanza linalokujia kichwani harakaharaka ni wasiwasi kwamba ndugu yetu hatarudi salama.
VP Israel nako ambako kula kukicha ni vita muda wote inawindwa na maadui? Vp usalama huko?
 
Hili la Iran wala sio Marekani. Ni Netanyahu na bange zake! Serikali ya Netanyahu haina tofauti na wanazi wa Ujerumani, ni wauaji na wabaguzi wa rangi. Wanajioja wao ni watu 'spesho'.

BTW Marekani akiamua kumdunda yeyote hapa duniani anamdunda vizuri tu, tena anakufuata hapohapo kwako.
Hakuna nyongeza tena japo kule juu umeharibu
 
Back
Top Bottom