Criss
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 858
- 252
Tofauti ya wazi ni kwamba
TUNA UTOFAUTI WA POLITICAL STRUCTURE BAINA YETU NA WAO .
Wao ili uwe kiongozi nilazima uwe na kitu kichwani CRITICAL THINKING AND HIGHLY RESOANING CAPACITY wakati hapo nyumbani cha muhimu UWE NA K³ ujue KUSOMA ,ujue KUANDIKA and finally ujue KUHESABU na mwisho na wenda ikawa muhimu kuliko zote uwe mwana ccm mtiifu period .
***
Jingine la muhimu ni tofauti ya maandiko yao na ya wa kwetu -:
Kwa wenzetu huwa wanaandika kwa maana kuu mbili kubwa -:
1. Nisehemu ya KUJIPIGIA CAMPAIGN (hasa kwa sababu kuu tajwa nikiyokwisha kuieleza pale juu ) kwamba wao ni nani ,wanauwezo gani na wamepitia changamoto zipi na zipi na wakati mwingine wanamafanikio gani ,Kwakufanya hivyo hufanikiwa kuishawishi jamii na vyombo vya usalama kufikiri zaidi kuhusu yeye kuliko yule asiyeweka mambo yake hadharani .
2. Kuacha alama na kusaidia kuamsha ari kwa wengine ,na huu ni utaratibu wao tu wa kizungu (unajua wazungu au watu wa Ulaya wanamila na utaratibu tofauti na kwetu ) wenzetu kule hata akijua tu kumenya ndizi huwa hatamani kuona mwingine akiseka na jambo hilo hivyo huliweka mitandaoni ilu wengine liwasaidie huku huko kwetu wengi siyo wenye kariba hiyo naogopa kujiita kuwa tunausisi zaidi . (selfishness)
Vitabu vingi vilivyoandikwa na Marais wa magharibi huwa vinahusu
TAALUMA ,CHANGAMOTO KADHAA WALIZOPITIA NA MAFANIKIO YAO hadi kuwafikisha walipo .nitalieleza.
Kwetu hatuna utaratibu huo kwasababu wengi wa viongozi wetu huwa hawafanikiwi kimkakati zaidi ya kutegemea kudra tu na wakati mwingine njia zisizoweza kufafanulika ikiwemo ushirikina au sifa za kubumba (safari zao za kimapambano kutokuwa na uwezo wa kuelezeka)
Na mwisho huishia kuandika majuto na maeneo kadhaa machache waliyoyapatia .
Mara nyingi haya huwa hayana uwezo wa kuanikwa wakiwa bado kwenye mbio moja kuieleke nyingine .