Kwanini Mangula ameondolewa Muhimbili kimya kimya?

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Na kwanini taarifa zake zinatolewa na Polisi na sio Madaktari na sio familia kwanini watu hawakuruhusiwa kwenda kumuona, je kuna siri gani?

Je, aligoma kumfuza kwa Membe au aliunga mkono kufukuzwa kwa Membe? Nani kampa sumu?

Watu wana haki ya kujua amepelekwa wapi? na wale aliokuwa nao mara ya mwisho wanachukuliwa hatua gani?
 
Naona theories za kufikirika za kigogo mnazihamishia huku.
 
Kama kwenye kadamnasi kapewa sumu je huko aliko lazwa aruhusu watu kwenda kumuona au walikwambia tayari kakamatwa aliyemlisha sumu ? Mkuu nenda kwake huenda ukapata ukweli alikopelekwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenzenu tunakula hotel isiyojulikana na mahali kusiko julikana, shauri yenu, kalagha baho
Na kwanini taarifa zake zinatolewa na police na sio madactari?

sio familia kwanini watu hawakuruhusiwa kwenda kumuona je kuna siri gani?

Je aligoma kumfuza kwa Membe? au alisaport kufukuzwa kwa Membe nani kampa sumu?

Watu wana haki ya kujua amepelekwa wapi? na wale aliokuwa nao mala ya mwisho wanachukuliwa hatua gani?
IMG_20200324_172653.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umejuaje?,ulitaka ukaongeze doze wamekuwahi?
Na kwanini taarifa zake zinatolewa na Polisi na sio madaktari na sio familia kwanini watu hawakuruhusiwa kwenda kumuona, je kuna siri gani?

Je, aligoma kumfuza kwa Membe au aliunga mkono kufukuzwa kwa Membe? Nani kampa sumu?

Watu wana haki ya kujua amepelekwa wapi? na wale aliokuwa nao mara ya mwisho wanachukuliwa hatua gani?
 
Cause your president announced recently that all Corona issues will be addressed by PM or Ummy
Mtoto wa kamanda Mbowe ana Corona, unajua Hilo? kabla ya kutaka kujua ya mzee Mangula fuatilia ya mtoto wa Mbowe, huku ukitusaidia kujibu maswali haya:

Kwa Nini Mbowe hataki kusema ukweli juu ya hali ya mwanae ?

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Mtoto wa kamanda Mbowe ana Corona, unajua Hilo? kabla ya kutaka kujua ya mzee Mangula fuatilia ya mtoto wa Mbowe, huku ukitusaidia kujibu maswali haya:

Kwa Nini Mbowe hataki kusema ukweli juu ya hali ya mwanae ?
Usikute akili zako Kuna mtu kazishikikia mateka au Kuna mahali umezisahau! Zirudie zikusaidie kutambua amri iliyowekwa na serikali juu ya Nani mwenye mamlaka ya kuitangaza wagonjwa wa corona! Mbowe hata Kama anauguliwa na mtoto bado hawezi kuvunja amri iliyowekwa ya kumtangaza mwenye corona kwani anajitambua na anatambua umuhimu wa kutii na kufuata taratibu zilizowekwa na serikali juu ya kadhia hii. Namshangaa mkuu wenu wa mkoa anajitangazia tu huku malamlaka za juu zimekataza na sijui anapimana ubavu na serikali au boss wake!
Pia sio haki kwa mtu yeyote isipokuwa daktari na mgonjwa ndio Wana haki ya kuusema ugonjwa wa mhusika na sio baba Wala mama! Haya ni kwa mujibu wa maadili ya kitabibu na kikatiba ili kuilinda faragha ya mgonjwa!
Ni aibu Tena kubwa kushangilia jirani yako akiuguliwa! Kama humjui Mungu mtafute Leo uitubu hii dhambi kwani ana uwezo wa kuishusha hiyo korona kwenye familia yako ili kumuonyeaha kuwa dharau na dhihaka ni machukizo mbele zake! Utubu na kuomba msamaha kwa kauli yako hii!
 
Kama wamesema alipewa sumu
Hiyo moja kwa moja ni attempted murder na linakuwa kwenye mikono ya polisi
Na kuondolewa au kuzuia watu ni kuwa anaweza akadhuriwa zaidi na ni lazima achungwe sana
Ingawa mimi sio polisi ila naangalia sana na kusoma kesi kama hizi


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom