Haaa haaa! Unajua kitu chochote kwenye maisha ni kujiamini na kuamini unaweza..Ukweli pia ni kwamba wanyama wote wakubwa, regardless ni predator ama la, ni tishio kwa mamba. Sema tu uoga wa mnyama anayewindwa halafu na taiming' ya mamba ndiyo silaha. Sasa Mr Hippo yeye ni confident all the time. Anaweza kuwa katikati ya mamba wengi, lakini bado akaekti very composed as if mkurugenzi kaalikwa kwenye mkutano wa kupongezwa kwa mafanikio aliyoyaleteleza kuhalmashauri. ^CONFIDENCE^ ndiyo key [emoji360].
Kuna kipindi wanakula,hasa viboko waliokufa kea jua kali kiangazi,unakuta maji yamepungua sana.Hoja yako ni irrelevant mkuu,swali La mtoa hoja lina maana,simba kunawakati hula tembo lakini kwamwe huwezi kuta mamba akila kiboko kwanini?
Huwa najiuliza sana, Mamba anakula nyama na Kiboko anakula nyasi, lakini wanaishi sehemu moja. Kwa tabia ya Mamba anakula mnyama yoyote anayekatiza mbele yake. Sasa mbona hamtafuni Kiboko na yuko nae muda mwingi?
Wanaume wa Dar wamekukosea nini?Kwa sababu mamba na ujanja wake wote ule...kwa kiboko yeye ni shoga tu sawa na mwanamme wa Dar akikutana na rijali la Mkoani
Bro, herufi "Z" inafanya kazi kwenye simu yako?
MkuuMimi najua kiboko ndio kiboko ila mamba kwa kiboko sio kiboko
Thiredi ufungwe.Uzi uishie hapa. Jibu ni timing. Halafu stability na maneuverability ya kiboko majini ni kubwa kivita na kimashambulizi kuliko mamba, ndiyo sababu mamba hawezi kuwa kiboko ya kiboko. Japo mamba anadai kuwa kiboko ya almost viumbe wote wanaothubutu kuyasogelea maji, bado hawezi kuwa kiboko ya kiboko. Mamba anaweza tu kuwa kiboko ya kiboko mjeledi, lakini hafui dafu kwa kiboko kiboko mnyama kwa sababu kiboko mnyama ndiye kiboko kweli na pia ni kiboko wa wanyama wengi wa majini akiwemo mamba ambaye hujidai kuwa kiboko wa kiboko ingawa kiboko anajua kuwa anaweza kuzunguka tuu kwa maneno lakini ukweli ni kwamba kiboko ndiye hasa kiboko wa viboko vyote.
Haaa haaa au milele kabsaaMkuu
Mi_ tano tena
Hawajanikosea kitu ila wale ni vigarasa tu, si wanaume wa ukweli.Wanaume wa Dar wamekukosea nini?
πππ π πWe thubutu,hii itakuwa sawa na giggy money kumnyima papa Jiwe
Mamba akitaka kuhamia nchi kavu milele ni HAJARIBU kugusa nyama ya KIBOKOHuwa najiuliza sana, Mamba anakula nyama na Kiboko anakula nyasi, lakini wanaishi sehemu moja. Kwa tabia ya Mamba anakula mnyama yoyote anayekatiza mbele yake. Sasa mbona hamtafuni Kiboko na yuko nae muda mwingi?