yale yalee ya yai na kuku nan mkubwaHuwa najiuliza sana, Mamba anakula nyama na Kiboko anakula nyasi, lakini wanaishi sehemu moja. Kwa tabia ya Mamba anakula mnyama yoyote anayekatiza mbele yake. Sasa mbona hamtafuni Kiboko na yuko nae muda mwingi?
Weak argument. What about lion vs impala!???Sababu kubwa hawa compete katika chakula,. Kiboko hula majani, mamba hula nyama
THEIR FEAR AND RESPECT TO HIPPOS ^IS^!??? PRINTED IN THEIR DNA.We ushaona lile domo la kiboko na ile mijino yake kama nondo? Ni mamba gani mwenye ujasiri wa kulisogelea lile domo KUBWAA lililojaa visu na mashoka?
Ni lidude kubwa lile sio la mchezo! Akifungua lile domo lake ana uwezo wa kummeza mamba mzima mzima!
Mamba wana utambuzi wa asili kwamba Kiboko ni kiboko kweli kweli... THEIR FEAR AND RESPECT TO HIPPOS IS PRINTED IN THEIR DNA.
Hawathubutu hata siku moja kumsogelea kiboko! Hata kwa bahati mbaya!
Kiboko na Mamba = ACT and Chama cha Demoghasia & MaombolezoKiboko hufikia hatua ya kuwaokoa baadhi ya wanyama wanaoonewa na mamba...ithink kiboko na mamba wanaushikaji
Siyo nani mkubwa, bali nani original. Ukipima kiukubwa, obviously yai ndiye kiboko ya kukuyale yalee ya yai na kuku nan mkubwa
Haha [emoji38]Katika domo lake kuna mapanga na mashoka [emoji3][emoji3][emoji3] mamba hasogei eisee
Kiboko anayo tabia moja, mzee sana au mgonjwa huwa anatengwa.Vipi kuhusu kiboko mzee yeye huwa hawi na wajukuu/watoto zake?
😆😆😆😆 T E C N OBro, herufi "Z" inafanya kazi kwenye simu yako?
Kile kitu Kiboko alichowahi kumfanyia Mamba....!Kwasababu kiboko na mamba mamba ndo kiboko
Kwahiyo kiboko ndo kiboko au mamba ndo kiboko?Kile kitu Kiboko alichowahi kumfanyia Mamba....!
Ndo Chanzo cha neno KIBOKO, Utasikia Kiboko yake! Kiboko yao n.k
Kiboko ni Kiboko ya Mamba.
Kiboko ni kibokoKwani kati ya mamba na kiboko nani kiboko?
Hapana, Kiboko ni Mamba!Acha kabisa.. Mamba ni Kiboko aisee..
Some time huwa mamba anavizia anakamata mtoto, na kuna wakati wanalianzishaga, kuna Video moja jivi ngoja niisake nilikuwa nayo ikionyesha Kiboko wakileteana nodma na Mamba,Huwa najiuliza sana, Mamba anakula nyama na Kiboko anakula nyasi, lakini wanaishi sehemu moja. Kwa tabia ya Mamba anakula mnyama yoyote anayekatiza mbele yake. Sasa mbona hamtafuni Kiboko na yuko nae muda mwingi?