Kwanini Makonda hakumuita Askofu Pengo?

 
Mkuu uaskofu wa gwajima sio wa Pengo hata kidogo. Naomba niishie hapo.
Upo sahihi mkuu lakini ukumbuke kuwa wote ni viongozi wa kiroho katika nafasi zao na anayejua uhalisia wa Yale wanayoyafanya ni Mungu,sina imani kama zile fedha haramu za Lugemalila huyo unayemwamini hazikupitia mikononi mwake.
 
Hii thread mods muwe macho ikifika page 3 hapatakalika hapa...nimejisemea tu naomba nisihukumiwe!
 
Kuna ile kanuni maarufu ya walevi YULE MUPE YULE MURUKE...pengine ndio kaitumia hapa
 
Mbona ambao hawajaitwa licha ya kutajwa kila siku amma wamewahi kukanusha wako wengi tu?

Ni mapema mno kuanza mambo ya mbona fulani.
 
Pamoja na utetezi wenu wote mnaoutoa hapa , kuhusu Cardinal, but akiwa kwenye mikutano ya TEC , treatment anayopata ni sawa na ile anayopata Bishop Ki cheap wa Bukoba.

Atoeaye haki ni mmoja tu aliyetuumba
 

Irrelevant
 
Ukiamua kumgusa pengo lazima uwe umejipanga kwa vita ya kidiplomasia na kidini na Vatican. Hata ivo sio rahisi yeye kujihusisha na biashara iyo kwani waumini wanamhudumia kwa kila kitu ivyo hatakuwa na pakuitumia iyo pesa.
 
Mkuu uaskofu wa gwajima sio wa Pengo hata kidogo. Naomba niishie hapo.
Wote makanjanja, wote wachumia tumbo, huamini fuata vigezo vya kuwa askofu, ukikosa kimoja muulize kwa nini we ni askofu, kwa nini usiache wengine waliokidhi vigezo.

Haya fungua 1 Timoth 3:1-7, hafu uje tusrmezane.

 
Tofautisha Kadinali Pengo anayetumikia kanisa takatifu katoliki kulingana na wito wake.

Pengo ni tofauti na akina Gwajima au mzee wa Upako, Kakobe n.k ambao wanaendesha makanisa hayo kama maduka au vitega uchumi vya kujipatia mali na faida kibao ili watafune na familia zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…