Kwanini makato ya Sim Banking yapo juu?

Nilimuuliza afisa mmoja,akanijibu unakwepa foreni bank na kwenye ATM unakuwa umeokoa muda kiasi gani!!!!

Nikaona hawa kumbe matapeli,kwa wale wanaotumia pesa fasta NMB,siku hizi imkorokocholewa makusudi,ili muachane nayo,maana yenyewe makato ni 800 tu una hela yako mkononi.
 
Nilishaachana na simbanking, na internet banking, kwa Bongo hizo ni LUXURY, siyo NECESSITY..
Mara 109, kwenda physically na kufanya unayoyahitaji branch. Au umtumie bodaboda!

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Nilishaacha kabisa kutumia sim banking. Kama ni akiba, bora niunge foleni kwa teller kuliko kuwapa pesa yangu kizembe hv.
Na mabenki mengi wameongeza gharama ya kutoa hela bank Ili kuwalazimisha kutoa kwa sim banking au ATM au wakala...njia isiyo na Makati mengi ni ATM..kama hamna tafuta wakala ..huko mwingine wanakupiga saws saws..utajuta kuweka hela zako huko..hata Makato ya kutoa fedha kwenye mitandao ya simu ni kubwa mnooo
 
Umenipa idea nzuri, maana sipo Tz ila nilikua natafuta bank gani nzuri ya kuhifadhi hela yangu ikitokezea nikija niikute hiohio
au ata kama wanakata isiwe ile ya pande kubwa
Issue sio bank Gani ya kuhifadhi..tatizo ni akaunti Gani wafungua .? Mabenki karibu yote yana account maalum kwa ajili ya savings ..mfano Nbc Wana malengo account yaani unaweka hela zako bila Makato na KILA mwisho wa mwezi unapewa interest
 
Back
Top Bottom