Kwanini makato ya Sim Banking yapo juu?

Kwanini makato ya Sim Banking yapo juu?

Area 56

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,546
Reaction score
4,040
Yaani unalipia Dstv kifurushi cha bomba elfu kumi na tisa na mia tisa (19,900) afu gharama za kufanya malipo hayo ni elfu tano (5,000).

Kwanini gharama ipo juu hivi? Nilikuwa sijawahi kujua, huu ni wizi wa mchana kweupe.

IMG_8614.jpg
 
Lazima utakuwa unawasingizia, hayo makato si ya nchi hii.
 
Yaani unalipia Dstv kifurushi cha bomba elfu kumi na tisa na mia tisa ( 19,900) afu gharama za kufanya malipo hayo ni elfu tano (5,000).

Kwanini gharama ipo juu hivi? Nilikuwa sijawahi kujua, huu ni wizi wa mchana kweupe...
View attachment 1798346
TCRA wako busy kuongeza gharama za bando na kuhakikisha hakuna mtanzania anatumia whatsapp kupiga simu za nje bila malipo.
 
Yaani unalipia Dstv kifurushi cha bomba elfu kumi na tisa na mia tisa ( 19,900) afu gharama za kufanya malipo hayo ni elfu tano (5,000).

Kwanini gharama ipo juu hivi? Nilikuwa sijawahi kujua, huu ni wizi wa mchana kweupe...
View attachment 1798346
Simu banking nilitumia week mbili tu nikaachana nayo kabsa. Ni gharama sana. Mfano ukihamisha hela kutoka kwenye bank kwenda mobile money gharama ni juu sana
 
Mbona nchi za wenetu hakuna makato ya kijinga kama hayo? Ukiachana na cm banking, hizi bank za kawaida pia zinamakato ya kijinga sana wakati bank za wenzetu hela ata ukiika miezi 6 unakuja kuiona ileile haijapungua ata cent 5, ni PBZ islamic bank na Amana bank pekeake ambazo hela yako haikatwi ila sijajua sasaivi kama na wao pia wamebadilika au laa
 
Kuna uzushi mwingi sana kuhusiana na hii huduma ya online transactions za CRDB.

Lkn ninachojua kulipia DSTV,LUKU nk huwa hamna makato, yani zero charges kabisa.

DSTV

View attachment 1798436
Screenshot_20210526-173208.jpg

LUKU

Screenshot_20210526-173556.jpg
Screenshot_20210526-173810.jpg
 
Mbona nchi za wenetu hakuna makato ya kijinga kama hayo? Ukiachana na cm banking, hizi bank za kawaida pia zinamakato ya kijinga sana wakati bank za wenzetu hela ata ukiika miezi 6 unakuja kuiona ileile haijapungua ata cent 5, ni PBZ islamic bank na Amana bank pekeake ambazo hela yako haikatwi ila sijajua sasaivi kama na wao pia wamebadilika au laa
Labda miaka ya nyuma wakati inaanza, sahivi wanakata.
 
Mbona nchi za wenetu hakuna makato ya kijinga kama hayo? Ukiachana na cm banking, hizi bank za kawaida pia zinamakato ya kijinga sana wakati bank za wenzetu hela ata ukiika miezi 6 unakuja kuiona ileile haijapungua ata cent 5, ni PBZ islamic bank na Amana bank pekeake ambazo hela yako haikatwi ila sijajua sasaivi kama na wao pia wamebadilika au laa
Mimi siku hiz nasave equity bank hawana makato kabisa.. Hata baada ya mwaka hela yako ni ile ile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna makato yakijpuuzi, Juzi nimefanya transaction kutoka Airtel kwenda Nmb makato yake 4000. Huu uwizi sasa
 
Back
Top Bottom