Kwanini makampuni yana bei tofauti ya Maji yaliyo katika ujazo sawa?

Branding mkuu!

Huwezi kuta machinga pale kariakoo anauza Kilimanjaro. Pia huwezi kuta MASAFI bungeni.

Kila kampuni imetarget wateja wake
 
kuna jamaa ulishawahi sema humu kwamaba unaponunua maji kitu unachonunua ni chupa
 
Production cost, angalia package ya maji ya kilimanjaro zilivyo, mie huwa naonaga wanapack kwenye boxes, right!? Halafu izo contents kuwa sawa kwa maji yote naona ni figisu tu mbona taste tofauti!!!? Kuna maji yana ladha chungu kabisa. Kilimanjaro ni next level bwana ladha yake ni ya maji halisi kabisa tena kama ya visima vya Zenji [emoji108][emoji13]
 
Kwanza wanakuibia. Mimi M
Katika kuwaza waza leo nilikua nakunywa maji yangu ya Kilimanjaro madogo ya 500ml wakati nimekaa zangu ofisini hapa sina kazi nikawa nimeishika hii chupa naisoma naipembua sioni utofauti wa material ya ziada na wengine lakini maji ya 500ml nimenunua 1000Tsh.

Nikinunua 1.5ltr ya k.njaro bei yake ni 1500
Nikinunua 1.5ltr ya Masafi bei yake ni 700
Nikinunua 1.5ltr ya Uhai bei yake ni 700

Nikishika kopo la maji huwa nasoma composition nakuta vipimo chlorine,mg,nitrate,Ph hivi vipimo vimetofautiana kwa makampuni lakini mimi swali langu leo ni kwenye bei,hivi hili swala la bei kwann k.njaro ana maji gharama kuliko wengine?

Maji si nguo,si tv si radio useme material yaliyotumika ni ghali maji kila mtu anaweza yafanyia treatment yakawa bora yakanyweka,sasa hii bei ya k.njaro inasababishwa na nini kwenye maji yao ya kunywa?

Bei ya Kilimanjaro ni ile ile hata dukani kwa mangi sasa hii kampuni ndio tuseme maji yao ni ORIJINO SANAAAA au tusemeje sasa wakuuu? maji yale yale, chupa zile zile huu utofauti wa bei unatokaga wapi,na hizi bei ni kwa ajili ya maji tunayoyanywa au ni bei za package za maji yanapohifadhiwa? maana sielewi inakuaje maji lita 1 huyu auze 500 yule auze 1200 yule auze 700 huyu auze 600 hizi bei nani anazipanga kwanza?

Wataalamu wa maji naomba mnisaidie hasa hasa haya maji orijino ya kilimanjaro yana tengenezwa na nini? au chem chem ya haya maji ipo huko mbinguni maana huwa sielewi kwanza tofauti kati ya K njaro na Hill, uhai atleast yana taste ya uchungu uchungu ila hawa ambao taste zinalingana nini sababu ya bei zao kuwa tofauti?

Na swali la mwisho,Je kuna maji orijino na feki?
Kwanza wanakuibia, mimi Masafi/Uhai nanunua ya ujazo uliotaja nanunua kwa sh 500/-
 
baishara huria bei maelewano..chaguo ni lako mteja.
 
Huku JF hutapata majibu sahihi. Majibu mengi itakuwa ni ya kubashiri. Tembelea hayo makampuni yote uliyoyataja na uwaulizie wao ndiyo watakupa majibu sahihi.

Pia kilimanjaro uwaulizie ni kwa nini siku hizi maji yao yanayaunga chumvi?
 
Maji sio product, kinacho uzwa ni zile process na hata DAWASCO wanauza ile huduma ya maji, kama gharama za kisukuma maji, zile pipe, ulinzi, na kadhalika, ila maji kama maji hayauzwi
Umeelezea vizuri sana mkuu
 
Pia kilimanjaro uwaulizie ni kwa nini siku hizi maji yao yanayaunga chumvi?
Mkuu tangu majuzi sielewi taste ya kilimanjaro,nashindwa badilisha kwasababu nina catton nzima ya maji ya litre 1.5,maji yana ladha ya uchumvi chumvi kbsa kwa wanaokunywa maji ya masafi au hill sana wakinywa k.njaro lazima wagundue hili.

sikuweza gundua hilo kwasababu sikua na uhakika wala ushahidi nikawa nahisi labda mdomo wangu tu ila baada ya kusoma hii comment yako nimekubali ulimi wangu ulikua sahihi kugundua huu utofauti,na baada ya kusoma hii comment nimepga funda 1 tena ndio kabisaa umefanya kama umeongeza chumvi ndio naisikia vizuri sasa.
 
sawa lakini napenda kujua kwanni haya yauzwe bei ya juu yale yauzwe bei ya chini wakati ya bei ya juu ni madogo kuliko haya ya be ya chini?
Branding, operation costs na quality.
 
Production cost, angalia package ya maji ya kilimanjaro zilivyo, mie huwa naonaga wanapack kwenye boxes, right!? Halafu izo contents kuwa sawa kwa maji yote naona ni figisu tu mbona taste tofauti!!!? Kuna maji yana ladha chungu kabisa. Kilimanjaro ni next level bwana ladha yake ni ya maji halisi kabisa tena kama ya visima vya Zenji [emoji108][emoji13]
Morogoro kuna maji yanaitwa udzungwa, kama ni ubora haya ndio yanaongoza na kiwanda chao kimejengwa kwenye maporomoko kule Kilombero.
 
Katika kuwaza waza leo nilikua nakunywa maji yangu ya Kilimanjaro madogo ya 500ml wakati nimekaa zangu ofisini hapa sina kazi nikawa nimeishika hii chupa naisoma naipembua sioni utofauti wa material ya ziada na wengine lakini maji ya 500ml nimenunua 1000Tsh.

Nikinunua 1.5ltr ya k.njaro bei yake ni 1500
Nikinunua 1.5ltr ya Masafi bei yake ni 700
Nikinunua 1.5ltr ya Uhai bei yake ni 700

Nikishika kopo la maji huwa nasoma composition nakuta vipimo chlorine,mg,nitrate,Ph hivi vipimo vimetofautiana kwa makampuni lakini mimi swali langu leo ni kwenye bei,hivi hili swala la bei kwann k.njaro ana maji gharama kuliko wengine?

Maji si nguo,si tv si radio useme material yaliyotumika ni ghali maji kila mtu anaweza yafanyia treatment yakawa bora yakanyweka,sasa hii bei ya k.njaro inasababishwa na nini kwenye maji yao ya kunywa?

Bei ya Kilimanjaro ni ile ile hata dukani kwa mangi sasa hii kampuni ndio tuseme maji yao ni ORIJINO SANAAAA au tusemeje sasa wakuuu? maji yale yale, chupa zile zile huu utofauti wa bei unatokaga wapi,na hizi bei ni kwa ajili ya maji tunayoyanywa au ni bei za package za maji yanapohifadhiwa? maana sielewi inakuaje maji lita 1 huyu auze 500 yule auze 1200 yule auze 700 huyu auze 600 hizi bei nani anazipanga kwanza?

Wataalamu wa maji naomba mnisaidie hasa hasa haya maji orijino ya kilimanjaro yana tengenezwa na nini? au chem chem ya haya maji ipo huko mbinguni maana huwa sielewi kwanza tofauti kati ya K njaro na Hill, uhai atleast yana taste ya uchungu uchungu ila hawa ambao taste zinalingana nini sababu ya bei zao kuwa tofauti?

Na swali la mwisho,Je kuna maji orijino na feki?
Swali lako la mwisho ndio, kwa sababu Kilimanjaro ni brand kubwa wapo wahuni wanafoji maji ya Kilimanjaro na wanayaingiza kwenye mzunguko hasa yale ya 1.5 liters. Ukiyanywa unagunduwa kabisa haya maji siyo na ni mazito, ndio sababu unakuta wengi wananunuwa yale ya 500ml hayajachezewa na wahuni wenye viwater plant vyao mitaani.
 
Maji ya kilimanjaro yana ladha mbovu kichizi siku hizi sidhani bado wanayatoa moshi nadhani hii chumvi chumvi ya maji ya hapa hapa dar.
NB: almost makampuni yote wanauza 1.5lts mia tano tu kwa sasa
 
TBS wameshachemka sana kwenye suala la ubora wa maji! Idadi kubwa sana ya wagonjwa typhoid ni wanywaji wa maji hayohayo yanayouzwa tena gharama!
Katika maji ya aina zote ni KILIMANJARO tu ndio maji safi na salama hayo mengine ni shida tupu!
 
Kuna Maji ambayo ukinywa utaishia Temeke, mengine Palestina, mengine Muhimbili ICU ila yapo pia ambayo usipokuwa makini utaishia Mochwari.
Yah true story kulikuwa na maji yanaitwa Penguin sijui bado yapo, yale unaweza kujikuta kwenye jokofu muhimbili
 
Back
Top Bottom