Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,519
- 5,423
Sisi ambao tuliachwa kwa sababu tuliferi fom 4,au fom 6 tunakoment wapi..... asikwambie mtu kuachwa kwa sababu hukufanya vizuri kwenye matokeo ya mitihani na cha ajabu aliyekuacha sasa unamzidi kimaendeleo na kila kitu licha ya kuwa alienda ughaibuni kusoma mm nikabaki bongo narekebisha makosa