Kwanini mahusiano yako ya mwisho yalifeli?

Kwanini mahusiano yako ya mwisho yalifeli?

A. Kulumbana Sana
B. No sex
C. Kucheat
D. Kukosa muda na mpenzi wako
E. Pesa
F. Mahusiano yalikua yana boa
G. Addiction ya vilevi au madawa

Naomba kuwasilisha
Nilitageti miaka ya mbele aje kuwa wife kabisa, akanipa conditions hataki kuishi na ndugu zangu hata wanaonitegemea...ohoo...nikaona isiwe tabu, nenda tu.
cha ajabu sasa aliumia sana mpaka marafiki zake waliniambia nitegemee tukio lolote linaweza kutokea kama hali itaendelea hivo.
Nilikuwa nawaza balaa ( After all alikuwa mpemba mmoja hivi mzuri tu)
 
Nilimdanganya kuwa na kazi nzuri kumbe hamna akaja kunigundua kosa lake kuniuliza nikamgeuzia kibao kuwa ananipendea kazi bidada akaona isiwe tabu akasepa.
 
Nilimdanganya kuwa na kazi nzuri kumbe hamna akaja kunigundua kosa lake kuniuliza nikamgeuzia kibao kuwa ananipendea kazi bidada akaona isiwe tabu akasepa.
kuwa real mkuu
 
Long Distance Relationship... maisha yangu yamekua ya kumove here and there kila baada ya miaka kadhaa.. inakua ngumu kudumu kwa ajili ya umbali..zile simu na sms za asubuhi mchana na usiku inafika mahali unaona zinachosha na mwezio hataki kuhama alipo basi ndo inakua mwisho wa safari ya wapendanao..
ila inaumiza sana..[emoji29]
 
Nilikua too smart kumgundua fix zake nyingi hadi akawa ananihisi natumia watu wamfuatilie kumbe ni yeye alikua kilaza muongo asiye na kumbukumbu,story zake zilikua zinaji contradict mfano anaweza kukuambia leo sitoki niko home tu baada ya siku 3 kwenye story akakuambia juzi nilikutana na fulani Kariakoo ha ha alikua wa misele,Though ilikua enzi za Mkapa na sasa hivi wote tupo kwenye ndoa namuonea huruma mumewe kwa sababu namfahamu vizuri Ex hawezi kuacha janja janja
 
Tuliachana siku ya nne baada ya uhusiano tulikutanishwa na rafiki yangu ambae amesoma nae tukapiga story, kesho nikamuweka sawa akakubali sasa first day tumeenda kumeet tukiwa wawili bana weee mtoto hana mchezo.
Kwanza kachukua simu yangu kabadili jina lake kaandika wife [emoji23][emoji23][emoji23]. Kwake kashasave Hubby hapo masharti kuonana almost kila siku, then hapendi mapenzi ya kujificha wala kuchezeana.
Nikaona she's for real halafu mimi kichwani sina hata moja.

Night nikamcall like let's end this before hujanizoea sana wala sijakuvua pichu sababu nitakuumiza halafu sitaki nikutendee hivyo mi sipo tayari na serious relationship dah alinichukia sana kwanini umenitongoza na nini but niliona nimefanya fair tu kutomtenda.
 
Back
Top Bottom